Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,317
Mkuu wa mkoa hii ni maalum kwako,
Kumekua na wimbi kubwa la wamalawi wanaoingia Tanzania kwa ajili ya kufanya vibarua na kazi za ndani na kadri siku zinavoenda wamalawi wanazidi kuongezeka na sisi watanzania tunazidi kuwaamini especially kwa kazi zetu za ndani.
Sawa hatukatai wamalawi au raia yeyote wa inchi nyingine aingie Tanzania, swala ni je ameingia kwa kufuata utaratibu unaotakiwa? Na anaishi kwa kutambulika kisheria? Kama ni jibu ni hapana, swali linakuja kwamba wamepitaje mpakani na sisi watanzania kwa ujumla tunatoa taarifa panapohusika pindi tunapowaona wanaishi kwenye makazi yetu, tunawaajiri, tunawapangisha kwenye nyumba zetu pasipo kutoa taarifa katinga ngazi zinazohusika na mbaya zaidi wakikaa hapa kwa muda wanakwenda makwao na pindi wanaporudi wanabeba wanafamilia wenzao wanakuja nao na kwa uzoefu wangu mdogo mara nyingi unakuta wamepanga chumba kimoja wanakaa hata 8 mpaka tisa, asubuhi kila mmoja anatawanyika kwenda kibaruani na jioni wanakutana.
Nadhani wadau humu mtakua na mifano hai na uzoefu wa hili ninalolisema. Sasa tunaomba serikali yetu ifuatilie kwa makini juu ya uwepo wa hawa watu,either wafuate utaratibubu unaotakiwa au wachukuliwe hatua za kisheria.
Najua waziri wa mambo ya ndani ndugu Mwigulu Nchemba yupo hapa na Mkuu wa mkoa,tunaomba haya mambo yaangaliwe kwa ukaribu na yatiliwe mkazo
Nawasilisha