Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

Viwanda vipya vya machawa vinaenda kuzalishwa. Hao wanufaika wote itabidi wakubali kuipamba Serikali 24/7 na kuwa chawa pro max
 
Kwahy hapo wale wakathoric wa kuchemsha watakuwa wanachekelea
Mgodi unatema😂
 
Vipi Content Creator umeshaenda kuchukua mzigo?

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha Tsh. 2 Bilioni itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya kidijitali.

Amesema hayo Januari 29, 2026 jijini Dodoma na kubainisha kuwa, fedha hizo zimetolewa na Rais Samia, kwa lengo la kuyawezesha makundi yote ya watengeneza maudhui ikiwemo katika Sekta ya Utalii, Michezo, Habari, Jamii, Muziki, Filamu na sanaa nyinginezo.

Soma: Makonda: Nitaenda kumlilia Rais Samia atupe Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya vijana wa Online TV na Content Creators

Amebainisha kuwa, zoezi la uandikishaji wa walengwa linaanza rasmi Januari 30 hadi Februari 15, 2026, ambapo watengenezaji wa maudhui wanatakiwa kufika katika ofisi za Halmashauri za Wilaya, Manispaa za Miji na Majiji kupitia vitengo vya habari, ili kuchukua na kujaza fomu za maombi, zikiainisha taarifa binafsi pamoja na shughuli wanazozifanya.

==

Tanzania Launches TZS 2 Billion Fund to Support Digital Content Creators

The Government of Tanzania has announced a TZS 2 billion (approximately USD 780,000) fund to support digital content creators across the country.

Speaking on January 29, 2026, in Dodoma, the Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Hon. Paul Makonda, said the initiative aims to strengthen the creative economy by enabling content creators to improve the quality of their work and generate sustainable income through digital platforms.

The fund, provided by President of the United Republic of Tanzania, Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, will benefit creators in sectors including tourism, sports, media, social development, music, film, and other creative arts.

Registration for eligible applicants will run from January 30 to February 15, 2026.
Kwa hakika napata tabu kweli kujua nani katuloga Watanzania,kweli hii sirikali ambaye habari sahihi kulingana na matukip halisi,inaona ni habari haramu na wanahabari wenye maadili ya kazi ni adui,kweli itoe 2b kwa ajili ya watendeneza maudhui ya mtandaoni!Ila kama ni yale yanayofanana na ya Wakatoliki wa Yombo,binafsi nitaungana na mweshimiwa Waziri mia kwa mia,ila kama ni habari zile mfano wa vyombi angalau tu kama akina bbc kabla ya kuanza kufanyiwa umafia wa kibongo isingewezekana,achilia mbali wakina Aljazeer wasio cheka na nyani hadi ndani ya pango lake!
 
Viwanda vipya vya machawa vinaenda kuzalishwa. Hao wanufaika wote itabidi wakubali kuipamba Serikali 24/7 na kiwa chawa pro max
U tube pekee imechafuka kama sii kuchafukwa baada ya mo29
 
18 February 2026
Geneva, Switzerland



Zimbabwe

Silenced for Reporting: Zimbabwe’s War on the Press with Blessed Mhlanga

Blessed Mhlanga, Zimbabwean journalist and former political prisoner, addressed the 18th Annual Geneva Summit for Human Rights and Democracy on February 18, 2026. 18th Annual Geneva Summit for Human Rights and Democracy, U.N. Opening, Tuesday, February 17, 2026 Key Quotes: “This is the new face of repression in Zimbabwe

Speech by Blessed Mhlanga


View: https://m.youtube.com/watch?v=Or3hXOWnwws
Mwandishi wa habari wa Zimbabwe Blessed Mhlanga alitoa hotuba yenye nguvu katika Mkutano wa Geneva wa Haki za Binadamu na Demokrasia, akielezea kwa undani siku zake 73 kizuizini kabla ya kesi na kile anachokielezea kama "sheria" - matumizi ya mfumo wa kisheria kuwanyamazisha waandishi wa habari na sauti za upinzani. Katika uchambuzi huu anafafanua:

• Kwa nini Mhlanga anasema uandishi wa habari unachukuliwa kama tishio la usalama


• Kukamatwa kunahusishwa na matangazo yanayomhusu veteran wa Uhuru mzee Blessed Geza

• Matumizi ya kizuizini kabla ya kesi kama adhabu ya kisiasa

• Gharama ya kifedha na kihisia kwa familia yake

• Shinikizo la kidiplomasia la kimataifa lililosababisha kuachiliwa kwake

• Mapendekezo ya marekebisho ya katiba yanaongeza nguvu ya urais

• Hii ina maana gani kwa demokrasia ya Zimbabwe na taswira ya kimataifa Je, Zimbabwe inarekebisha - au inaboresha ukandamizaji?

Hii si hadithi ya mtu mmoja tu. Ni kuhusu mustakabali wa uhuru wa vyombo vya habari, katiba, na utawala nchini Zimbabwe.

📢 Je, unaamini shinikizo la kidiplomasia la kimataifa linafanya kazi - au halibadilishi chochote
Blessed Mhlanga, Zimbabwean journalist and former political prisoner, addressed the 18th Annual Geneva Summit for Human Rights and Democracy on February 18, 2026.
Source : Geneva Summit
 
Back
Top Bottom