Makonda: Pale ofisini kwangu nina wasaidizi 120, lakini najivunia 4 tu, wengine ni mizigo..!

Mtotozi

JF-Expert Member
Sep 21, 2016
253
260


Wakuu nawasilisha mada..! Hili linaweza kuwa kweli kwamba Redudancy inakuja...!
1479747348252.jpg


Karibuni tujadili wakuu..!
 
Possible kabisa. Mazoea yalikuwa mengi. Ila inatakiwa kuangalia majukumu. Wengi was wasaidizi hawajui majukumu yao au wanaingiliwa na wakuu wao hivyo Ku give up wakisubiri maelekezo kutoka juu.. Tuwaachie majukumu wafanye majukumu bila kuwaingilia ili wawe huru.
 
Back
Top Bottom