Makonda ondoka Arusha

Natamani sana aje kuwa raisi wenu , ndio akili zitawakaa sawa
 
We jamaa si ulikuwa mbele siku ya kupewa ubwabwa na nyama 🤣🤣Yaani Msukuma kawazidi akili, katoka kwao kaja kumchukua dada yenu na ubunge mmempa.

Vijana wa huko akili ziko kwenye kuendesha pikipiki ,atawachezea sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…