Arusha Bashite kanunuwa magari na Bentley, kajenga maa apartments, kapata uwaziri, kala kodi za raia bila woga!
Hata Arnold Schwarzenegger hakuletwa!
Waa Arusha wamezinduka!
Tayari Chawa kaanza kutoa mlio wenye sauti kubwa chawa kwani DAB kakufanyaje haujui kua huyo ni best friend wa yule unaempigia mapambio humu au umeshasahau?
Arusha Bashite kanunuwa magari na Bentley, kajenga maa apartments, kapata uwaziri, kala kodi za raia bila woga!
Hata Arnold Schwarzenegger hakuletwa!
Waa Arusha wamezinduka!