Makonda njia nyeupee urais 2025

Makonda njia nyeupee urais 2025

Uzuri hujabainisha rais wa nini anaeza Kuwait rais wa wasafi au raid Wa masharo
 
Raisi wa Wasafi ama Raisi wa Manzese achuane na Madii....
 
Makonda atafukuzwa kazi muda si mrefu kwa kuzozana na kamanda Siro
Ni kijana wa hovyo hovyo sana asiyejua kabisa uongozi
 
Uzuri Rais ajaye lazima awe Muislamu kama ilivyo Nchi hii ni ya Wakatoliki na Waislamu ni Marufuku Muagrikana, KKT kushika nchi.
Kwani uislamu unapatikanaje? Usicheze na wanasiasa ndugu!
 
Namkubali sana huyu kijana japo natamani agombee urais mwaka 2025 kwa tiketi ya ukawa nadhani anaweza kufanya makubwa sana kuliko akiwa ccm ujasiri alionao na uthubutu wake wa kufanya mambo ndiyo silaha mhm ktk uongozi.
Mafisadi wmekimbilia UKAWA, makonda hawezi kwenda huko
 
Mtu unakuwa aje na kipimo cha rais ajaye..Na kama ni hvyo Makonda nae yumo..?
 
Uzuri Rais ajaye lazima awe Muislamu kama ilivyo Nchi hii ni ya Wakatoliki na Waislamu ni Marufuku Muagrikana, KKT kushika nchi.
Watuu kama wewe TCRA ndyo inabidi iwashughurikie ipasavyo.
 
akiwa Raisi hakiamungu mimi najinyonga. Bora nife kuliko nchi kuongozwa na vilaza miaka 20 mfululizo
 
Je unabashiri kuwa mama Samia ataendelea kuwa makamu wa Rais?
 
Sema za ukweli huyu jamaa naye ni 'janga la kitaifa'... Ni sawa tu na yule 'kaka ake'...
 
Kuna watu wamefanya urais uonekane ni wadhifa mwepesi sana nchini kwetu.
 
Back
Top Bottom