Makonda njia nyeupee urais 2025

Makonda njia nyeupee urais 2025

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,214
Reaction score
3,353
Namkubali sana huyu kijana japo natamani agombee urais mwaka 2025 kwa tiketi ya ukawa nadhani anaweza kufanya makubwa sana kuliko akiwa ccm ujasiri alionao na uthubutu wake wa kufanya mambo ndiyo silaha mhm ktk uongozi.
 
Wpiga kura watakua wa kanda ya ziwa tu lbda ,Nobody in his/her right mind will even consider this prick for presidency
 
Kwa Tanzania yote yanawezekana na urais mwenyewe anautaka sababu kuna siku alisema Mungu amemchagua aiongoze Tanzania sio Dar.
 
Kakutuma uanze kumsifia humu?yaani mropokaji kama huyo hafai,
 
Rais wa clouds media labda kwanza kiongoz wa matamko kama aina hii hawafai na hatuwez kuwachagua labda washinde kwa goli la mkono
 
Namkubali sana huyu kijana japo natamani agombee urais mwaka 2025 kwa tiketi ya ukawa nadhani anaweza kufanya makubwa sana kuliko akiwa ccm ujasiri alionao na uthubutu wake wa kufanya mambo ndiyo silaha mhm ktk uongozi.
halafu Waziri mkuu anakuwa JPM, patamu hapo
 
Namkubali sana huyu kijana japo natamani agombee urais mwaka 2025 kwa tiketi ya ukawa nadhani anaweza kufanya makubwa sana kuliko akiwa ccm ujasiri alionao na uthubutu wake wa kufanya mambo ndiyo silaha mhm ktk uongozi.
mtoa mada naomba unitajie mpaka sasa makonda kaifanyia lipi kubwa mkoa wa dar kiasi cha kustahili hizo sifa za kuwa rais ajaye???
taja maendeleo aloleta ndani ya mwaka mmoja...
 
Kama Trump kawa rais basi basi makonda inewezekana
 
Back
Top Bottom