Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 843
- 1,603
Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.