Seaman88
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 417
- 156
Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.