makonda ndie rais ajae.....

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,722
Reaction score
16,068
sote kwa pamoja tunaona utendaji kazi wa makonda, heko heko, ccm mbele kwa mbeleee....hawapumui wapinzani...ccm mbele kwa mbele....baada ya kumpata rais msukuma magufuri sasa ni zamu ya makonda..kijana kutoka mwambola katika wilaya ya misungwi, hekooooo hekooo
 
Ungeweka na huo utendaji thread ingenoga zaidi. Kautenda wapi, lini, na matokeo endelevu ya utendaji huo.
kazuia jezi zenye kiwango cha chini sana....lakini ndie waziri wa kwanza kuonana na mchezaji nyota lamine yamal......
 
WanaCCM tuwe makini na kuanza kampeni mapema za wanasiasa tunaowapenda ili kuwaepusha na ajali za kisiasa. Miezi kadhaa iliyopita kuna uzi ulianzishwa na mwanaCCM ukitaka umma uanze kumzoea Nchimbi kama Rais ajaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…