Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,305
- 144,630
Wote wako hivyo tu.Atumwe au asitumwe bado Makonda hana akili timamu. Hajui aongee nini, wapi na mbele ya nani. Makonda ana ujasiri wa kujipendekeza (uchawa) na siasa za mifarakano.
Kawapa Ultimatum...! 🤣🤣Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli.
Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema.
Kwamba hakusema tu kwa bahati mbaya. Alipewa baraka zote na Samia, ili kutuma ujumbe kwa watu flani flani.
Sasa leo/ jana huko Arusha, Gavana wa mkoa huo, Paul Bashite Makonda, katishia kuwataja watu wanaowatuma baadhi ya watu kumtukana Rais Samia kwenye mitandao ya kijamii.
Gavana Makonda kasema anawajua watu hao ambao kati yao wapo na mawaziri wa serikali ya Samia.
Gavana Makonda kawapa watu hao mpaka Jumatatu ya wiki ijayo wawe wameacha mambo wanayoyafanya, la sivyo, atawataja kwa majina!
Sasa swali ibuka ni, je, Gavana Paul Makonda naye ametumwa na Rais Samia awafikishie ujumbe watu hao kama vile ambavyo ilidaiwa Jenerali Mabeyo alivyotumwa?
Wajuzi wa mambo tujuzeni basi na sie tusio na huo ujuzi na ujuvi wenu 🙏.
Tuwe wazi tu kwa kusema Bashite anatatizo la akili, ila aliyemteua kuwa RC anatatizo kubwa zaidi la akili.Binafsi sidhani kama anatumwa. Ni hana akili tu.
Delila alichomfanyia JPM, Malipo ni hapa hapa dunianiMwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli.
Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema.
Kwamba hakusema tu kwa bahati mbaya. Alipewa baraka zote na Samia, ili kutuma ujumbe kwa watu flani flani.
Sasa leo/ jana huko Arusha, Gavana wa mkoa huo, Paul Bashite Makonda, katishia kuwataja watu wanaowatuma baadhi ya watu kumtukana Rais Samia kwenye mitandao ya kijamii.
Gavana Makonda kasema anawajua watu hao ambao kati yao wapo na mawaziri wa serikali ya Samia.
Gavana Makonda kawapa watu hao mpaka Jumatatu ya wiki ijayo wawe wameacha mambo wanayoyafanya, la sivyo, atawataja kwa majina!
Sasa swali ibuka ni, je, Gavana Paul Makonda naye ametumwa na Rais Samia awafikishie ujumbe watu hao kama vile ambavyo ilidaiwa Jenerali Mabeyo alivyotumwa?
Wajuzi wa mambo tujuzeni basi na sie tusio na huo ujuzi na ujuvi wenu 🙏.
Hujaona video Mama ana direct movie action wapi, mpaka pale kwenye "cut"Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli.
Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema.
Kwamba hakusema tu kwa bahati mbaya. Alipewa baraka zote na Samia, ili kutuma ujumbe kwa watu flani flani.
Sasa leo/ jana huko Arusha, Gavana wa mkoa huo, Paul Bashite Makonda, katishia kuwataja watu wanaowatuma baadhi ya watu kumtukana Rais Samia kwenye mitandao ya kijamii.
Gavana Makonda kasema anawajua watu hao ambao kati yao wapo na mawaziri wa serikali ya Samia.
Gavana Makonda kawapa watu hao mpaka Jumatatu ya wiki ijayo wawe wameacha mambo wanayoyafanya, la sivyo, atawataja kwa majina!
Sasa swali ibuka ni, je, Gavana Paul Makonda naye ametumwa na Rais Samia awafikishie ujumbe watu hao kama vile ambavyo ilidaiwa Jenerali Mabeyo alivyotumwa?
Wajuzi wa mambo tujuzeni basi na sie tusio na huo ujuzi na ujuvi wenu 🙏.
Kumtumia kichaa kuwatisha watoto wakaidi siyo kwamba na wewe ni kichaa.Ni kuazima akili tu.Tuwe wazi tu kwa kusema Bashite anatatizo la akili, ila aliyemteua kuwa RC anatatizo kubwa zaidi la akili.
Na ndicho kinachomfanya apendwe na MamaAtumwe au asitumwe bado Makonda hana akili timamu. Hajui aongee nini, wapi na mbele ya nani. Makonda ana ujasiri wa kujipendekeza (uchawa) na siasa za mifarakano.
Unawajua binadamu wanaitwa LOPOLOPO? Makonda ndo Mwenyekiti wao.Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli.
Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema.
Kwamba hakusema tu kwa bahati mbaya. Alipewa baraka zote na Samia, ili kutuma ujumbe kwa watu flani flani.
Sasa leo/ jana huko Arusha, Gavana wa mkoa huo, Paul Bashite Makonda, katishia kuwataja watu wanaowatuma baadhi ya watu kumtukana Rais Samia kwenye mitandao ya kijamii.
Gavana Makonda kasema anawajua watu hao ambao kati yao wapo na mawaziri wa serikali ya Samia.
Gavana Makonda kawapa watu hao mpaka Jumatatu ya wiki ijayo wawe wameacha mambo wanayoyafanya, la sivyo, atawataja kwa majina!
Sasa swali ibuka ni, je, Gavana Paul Makonda naye ametumwa na Rais Samia awafikishie ujumbe watu hao kama vile ambavyo ilidaiwa Jenerali Mabeyo alivyotumwa?
Wajuzi wa mambo tujuzeni basi na sie tusio na huo ujuzi na ujuvi wenu [emoji120].
Makonda ni spika ya MamaKawapa Ultimatum...! 🤣🤣
Mimi sio Mwanasaikolojia in such lakini nauelewa vizuri utofauti wa uongozi wa Hayati Magufuli na huu wa sasa
Paul Makonda anajua sana kuwasoma viongozi wake wa juu na anajua sana kujipendekeza kwao kwa maslahi yake, halafu amamejaliwa ujasiri no matter what
Inawezekana Samia hajamtuma, lakini pia SSH huwa anapenda sana kupata Mtu wa kumuongelea kwa niaba yake...hasa katika mambo mazito au magumu, mara nyingi humtumia PM wake
Na hili Makonda ameshaligundua, kwa Mfano tofauti na Magufuli...SSH hawezi kumtaja moja kwa moja Waziri anayevurunda au hata kuitaja wizara lakini Makonda anaweza
That's it,
🤣🤣🤣🤣Makonda ni spika ya Mama