johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,404
Aliyekuwa mkurugenzi wa manispaa ya Bukoba ndugu Makonda pamoja na wenzie 3 walioshtakiwa kwa kufungua account hewa ya maafa, waliachiwa huru na mahakama ya hakimu mfawidhi Bukoba lakini polisi wamewakamata tena.Mawakili wao wamelalamika na kudai ukamatwaji huo si halali na umefanywa kinyume cha sheria.Chanzo ITV Taarifa ya Habari