Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,991
acha umbea.....haulipiipo picha ina tembe huko instagram.
inamuonesha bashite akiwa na mkewe nnyuma kuna bendera ya taifa .
sijui sana mambo ya protocal. kwa wajuzi wa mambo haya hili limekaaje? je ni sahii kwa mteule wa rais kupiga picha na mwandani wake mbele ya bendera yetu?
nawasilisha?
Mazwazwa mumeishiwa hoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawe nenda kapigeipo picha ina tembe huko instagram.
inamuonesha bashite akiwa na mkewe nnyuma kuna bendera ya taifa .
sijui sana mambo ya protocal. kwa wajuzi wa mambo haya hili limekaaje? je ni sahii kwa mteule wa rais kupiga picha na mwandani wake mbele ya bendera yetu?
nawasilisha?
Ni lazima watu watofautitishe picha ya bendera ya Taifa na Bendera ya Taifa. Bendera ya taifa ina sifa zake rasmi zilizotungwa kisheria, kuanzia rangi zake, ukubwa wake na mwonekano wake... Picha tu ya Bendera ya taifa, siyo bendera ya taifa. Ama sivyo mtajikuta siku moja mtu akivua nguo fulani inabidi usimame attention!ipo picha ina tembe huko instagram.
inamuonesha bashite akiwa na mkewe nnyuma kuna bendera ya taifa .
sijui sana mambo ya protocal. kwa wajuzi wa mambo haya hili limekaaje? je ni sahii kwa mteule wa rais kupiga picha na mwandani wake mbele ya bendera yetu?
nawasilisha?
NimekuelewaNi lazima watu watofautitishe picha ya bendera ya Taifa na Bendera ya Taifa. Bendera ya taifa ina sifa zake rasmi zilizotungwa kisheria, kuanzia rangi zake, ukubwa wake na mwonekano wake... Picha tu ya Bendera ya taifa, siyo bendera ya taifa. Ama sivyo mtajikuta siku moja mtu akivua nguo fulani inabidi usimame attention!
kwa hiyo bendera iliyopo nyuma ya kiti cha mkuu wa mkoa sifa zake ni zipi?Ni lazima watu watofautitishe picha ya bendera ya Taifa na Bendera ya Taifa. Bendera ya taifa ina sifa zake rasmi zilizotungwa kisheria, kuanzia rangi zake, ukubwa wake na mwonekano wake... Picha tu ya Bendera ya taifa, siyo bendera ya taifa. Ama sivyo mtajikuta siku moja mtu akivua nguo fulani inabidi usimame attention!
Hilo ni zao la Phd feki na form4 feki
Bendera ya taifa ipo katika aina na ukubwa tofauti. Kuna ndogo za kuning'iniza kwenye magari, ofisini na kubwa za kwenye mti nje na vingine kama vibeji vya kuweka kwenye suti lakini siyo kama yale mabendera aliyojiwekea ninja hadi jingine kageuza. Picha ni tofauti na kitambaa halisiNi lazima watu watofautitishe picha ya bendera ya Taifa na Bendera ya Taifa. Bendera ya taifa ina sifa zake rasmi zilizotungwa kisheria, kuanzia rangi zake, ukubwa wake na mwonekano wake... Picha tu ya Bendera ya taifa, siyo bendera ya taifa. Ama sivyo mtajikuta siku moja mtu akivua nguo fulani inabidi usimame attention!