Makonda na Makamba nini kinaendelea?

Kweli mkuu,hiyo salamu maaluu (special recognition) niliisikia kweli me mimi nilijiuliza sana,kwamba kazma umebeba kitu ndani kwavyovyote vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeyatafuta hayo maneno kwenye hotuba ya makamba hakuna kitu km hicho
 
Nimeyatafuta hayo maneno kwenye hotuba ya makamba hakuna kitu km hicho
Hili ni tatizo la baadhi ya watu humu JF. Kazi yao kubwa ni kupindisha tu kila kitu. Watu hawa ni virus, kwani wapo tayari kuchonganisha na kusambaratisha mahusiano ya watu. Utandu njoo utueleze haya maneno uliyatoa wapi!
 
Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake.

Kuna nini?
Ungetoa japo ka reference kidogo.Nimewaona juzi Alhamis JKNIA wakishughulikia kuupokea mwili wa RUGE.
Waliongea kwa vipindi tofauti.
Fuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha waparulane na ikibidi watwangane
Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake.

Kuna nini?

In God we Trust
 
Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake.

Kuna nini?
Makonda ni class ya Magu maana wote ni wanakijiji flan hivi washamba, Sasa Makamba apoteze muda kusalimiana na kondoo maji ili iweje?
 
Labda waganga wao ndio wana bifu
Tutajuaje?
Who cares anyway

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwa hiyo walivhomtanguliza mwenzao wao hawatadead eti amewaabisha kwa kuachia CCTV footage ,kumuua ndio aibu yao imeisha.
 
Salamu sio muhimu sana mkuu. Kuzikana ndio jambo la msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…