Makonda na Makamba nini kinaendelea?

Makamba anasema naomba wazazi wana familia msisikitite wala kulipa visasi kwa kwa hili lilotokea, ukiwa mzee wa code basi tayali unawaza yaliyomo nyumba ya pazia
tayali = tayari

Safari hii ufipa sijui wamewatoa wapi?
 
Makamba anasema naomba wazazi wana familia msisikitite wala kulipa visasi kwa kwa hili lilotokea

JMakamba kasema hayo, tena mbele ya kadamnasi?
"---naomba wazazi, wanafamilia msisikitike, wala kulipa visasi kwa hili lililotokea" ?

Haya maneno yametamkwa; tena mbele ya viongozi wakuu?
Hizi ni dalili za mambo yanayofukuta chini kwa chini, yakielekea kububujika. Watu woga umeanza kuwaisha. Mika mitatu ya woga hatimae imetufikisha hapa. Ukiona akina Bashe wanafyatuka, elewa tunasogelea 'defiance.' Come what may, potelea mbali!

Mkuu 'utandu', ni kweli haya yamesemwa? Halafu huyo aliyeyatamka kajitangaza alikuwa 'msiri' wa marehemu?
 
Alikuwa anahangaika sana na ule msafara,sijui ule msafara ulikuwa unamhusu vipi!!
Alafu akishuka,macho na akili alielekeza kwenye camera zilizokuwa zikifatilia tukio
 

Ina wezekana wote wapo kwenye mpango mmoja ,mtizame sana anae Lia sana Msibani.
 
Kwanin Mmchukie Kijana mwenzenu kiasi Hicho?? Wivu? Uzembe wa Kufikiri?? Hulka za kike? Au maovu yenu anayopambana nayo (Ngada na Shisha). Anyway hizi ni dalili mbaya kwa mwanaume labda kama wewe ni ke, ulitaka uke wenza!
 
Mission imekamilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…