RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 779
Ni Sumu ama HIV?Sumu ya kumteketeza Ruge imetokea huko huko
Chief unaishi dunia ya ngapi!? Siku hizi huo ugonjwa si tishio tena hasa kwa watu wenye pesa zao!!Ni Sumu ama HIV?
Halafu kama mmesikiliza hotuba ya Makamba kuna wakati kama kamrushia dongo MakondaNauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake kun nini?
Kapewa ila anasema toka juzi kamuomba mungu ampe cha kusema bado hajampatia kwahiyo anasubiri siku mungu akimpa cha kuongea kumuhusu Ruge ataongeaHivi huyu Zuzu amepewa nafasi ya kuongea pale Karimjee? Au nafasi yake imefutwa kwenye ratiba?
Kabisa mimi mwenyewe nimeonaPale mkuu ni saikoloji imetumika... Maana kiitifaki alitakiwa awepo kwenye mtiririko wa utambuzi.... Lakini yy baada ya utambuzi akajifanya Kama kamsahau then akampa special recognition kwake.. Kwa sababu anazozijua yy... Pia kwenye speech ya January makamba kammaliza Kabisa jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kimbea .......ila kama umesikiliza vizuri hotuba ya Makamba utagundua kuna kitu nyuma ya paziaMada imekaa kimbea mbea hivi....au mimi ndo sijailewa
Mada za-kina warumi hizi
Upi huoalafu nilimsikia Kusaga akifanya utambuzi maalum tena (special recognition) kwa bashite tena hapo ni baada ya kuwa ametambua uwepo wa JPM, Waziri Mkuu, Jk...nikajiuliza hizo salam maalum kwa Bashite hazina ujumbe uliojificha kwel?!
u maalum huo kwa bashite ktk tukio lile ni nini hasa aliomaanisha kusaga?!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesimamia yeye kama nani yake na Ruge?Watu na tafsiri zetu,pengine sivyo walivyo ila tuna tabia za kuchonganisha watu,kwa maoni yangu makonda amejitaidi mno kuisimamia shughuli nzima ya mazishi hakika ameonyesha upendo na half ya kujitoa ktk mazishi ya ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
Ananikera mm huyu Zuzu!Kapewa ila anasema toka juzi kamuomba mungu ampe cha kusema bado hajampatia kwahiyo anasubiri siku mungu akimpa cha kuongea kumuhusu Ruge ataongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamba anamkosea heshima naibu rais,amwamkie
πππAnanikera mm huyu Zuzu!
tfuta uzi wa genta wa jion hiiMkuu, January kampa za uso eehh..safi sana.Januaru Amemmaliza kwa kusemaje Mkuu?
Lakini ni alama ya maelewano...Kusalimia mtu sio lazima mkuu.
Unaumwa weweWatu na tafsiri zetu,pengine sivyo walivyo ila tuna tabia za kuchonganisha watu,kwa maoni yangu makonda amejitaidi mno kuisimamia shughuli nzima ya mazishi hakika ameonyesha upendo na half ya kujitoa ktk mazishi ya ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuwa...Watu na tafsiri zetu,pengine sivyo walivyo ila tuna tabia za kuchonganisha watu,kwa maoni yangu makonda amejitaidi mno kuisimamia shughuli nzima ya mazishi hakika ameonyesha upendo na half ya kujitoa ktk mazishi ya ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Mbeba mikoba wa January au Makonda?! Kwa jinsi unavyosema inaonesha mara kwa mara unawaona wakikutana lakini hawasalimiani! Au umeona tukio moja tu tayari umesha-conclude?! Kama ndiyo, una uhakika hawakuwa wamekutana hapo kabla?Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake.
Kuna nini?