Inawezekana hawa vijana ni watendaji wazuri, inawezekana wana nia nzuri na nchi hii, ila wanaponzwa na kutaka sifa kwa kila jambo walifanyalo, kila jambo wanakimbilia media mara wapige selfie waweke kwenye mitandao na ni hapo wananchi wanapowaona kama wazugaji wanaotafuta sifa binafsi.
Ushauri wangu wafanye kazi bila kutegemea media wala kupiga selfie na kuweka kwenye mitandao ya kijamii, mafanikio yao yatapiga kelele yenyewe wajifunze utendaji kazi wa viongozi wengine wanaofanya kazi bila selfie na media lakini kazi zao zinaoneka.