Makonda: Mungu alisema nami kwamba nikutane na Viongozi wa dini'

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
NANUKUU

"Mungu akasema nami, kutana na viongozi wa dini... nikataka siku hiyo wale chakula cha kimataifa... lakini pesa nikawa sina..... nikakopa pesa Shs 50,000,000/= kwa rafiki wa mke wangu..... Hata Askofu Kakobe alistaajabu kwa menu ile... kama ya hoteli ya nyota sita.

Mzee Mengi aliporejea nchini nikamuambia... nadaiwa..... akalipa pesa zote Shs 147,000,000/=".

Hakika tunaye mkuu wa Mkoa Mbunifu.
 
dogo anapiga mzinga, baba anapiga biti, wakusanya ushuru wanapiga hodi roho hiyohiyo moja, mtawasingizia tu kina jaki
 
NANUKUU

"Mungu akasema nami, kutana na viongozi wa dini... nikataka siku hiyo wale chakula cha kimataifa... lakini pesa nikawa sina..... nikakopa pesa Shs 50,000,000/= kwa rafiki wa mke wangu..... Hata Askofu Kakobe alistaajabu kwa menu ile... kama ya hoteli ya nyota sita.

Mzee Mengi aliporejea nchini nikamuambia... nadaiwa..... akalipa pesa zote Shs 147,000,000/=".

Hakika tunaye mkuu wa Mkoa Mbunifu.
Uongo mkubwa sana Msibani , wazee wengi wameona aibu sana !
 
NANUKUU

"Mungu akasema nami, kutana na viongozi wa dini... nikataka siku hiyo wale chakula cha kimataifa... lakini pesa nikawa sina..... nikakopa pesa Shs 50,000,000/= kwa rafiki wa mke wangu..... Hata Askofu Kakobe alistaajabu kwa menu ile... kama ya hoteli ya nyota sita.

Mzee Mengi aliporejea nchini nikamuambia... nadaiwa..... akalipa pesa zote Shs 147,000,000/=".

Hakika tunaye mkuu wa Mkoa Mbunifu.
Bado nashangaa. Hivi hii dunia ina watu wajinga kiasi gani cha kuamini kuwa Mungu alisema na Makonda? Jamani Mungu anasingiziwa kwa vingi.
 
Kiukweli mimi ni CCM ila kwa Makonda NOOO namuombea Mungu aendelee kumbariki apate hekima na maarifa.
 
Kumbe tuzo, dhifa n.k. ni fulu mizinga! 😂😂. Nilikuwa najiuliza watu wanatoa wapi mahela? Kumbe ni mi-zinga!
 
NANUKUU

"Mungu akasema nami, kutana na viongozi wa dini... nikataka siku hiyo wale chakula cha kimataifa... lakini pesa nikawa sina..... nikakopa pesa Shs 50,000,000/= kwa rafiki wa mke wangu..... Hata Askofu Kakobe alistaajabu kwa menu ile... kama ya hoteli ya nyota sita.

Mzee Mengi aliporejea nchini nikamuambia... nadaiwa..... akalipa pesa zote Shs 147,000,000/=".

Hakika tunaye mkuu wa Mkoa Mbunifu.
Kwahiyo Mzee Mengi alikuwa fala wa kulipa mizinga ya wazenguaji kwa sifa na ahadi zao za kupata sifa!!!!!
 
Ile albdri waliyomsomea nadhani imeanza kufanya kazi sasa.

NANUKUU

"Mungu akasema nami, kutana na viongozi wa dini... nikataka siku hiyo wale chakula cha kimataifa... lakini pesa nikawa sina..... nikakopa pesa Shs 50,000,000/= kwa rafiki wa mke wangu..... Hata Askofu Kakobe alistaajabu kwa menu ile... kama ya hoteli ya nyota sita.

Mzee Mengi aliporejea nchini nikamuambia... nadaiwa..... akalipa pesa zote Shs 147,000,000/=".

Hakika tunaye mkuu wa Mkoa Mbunifu.
 
Sasa kuna watu wanauliza ati magari ya kifahari anayatoa wapi!? Ndo kama hivi.

Hivi lile sakata la Mo afande alitolea ufafanuzi kama alivyoahidi?? Ooooops.....nisije unganishwa na "mdudu" bure!
 
NANUKUU

"Mungu akasema nami, kutana na viongozi wa dini... nikataka siku hiyo wale chakula cha kimataifa... lakini pesa nikawa sina..... nikakopa pesa Shs 50,000,000/= kwa rafiki wa mke wangu..... Hata Askofu Kakobe alistaajabu kwa menu ile... kama ya hoteli ya nyota sita.

Mzee Mengi aliporejea nchini nikamuambia... nadaiwa..... akalipa pesa zote Shs 147,000,000/=".

Hakika tunaye mkuu wa Mkoa Mbunifu.
Ahaaaa Ahaaaa kumbe pamoja na ukuu wa mkoa exposure zero, yaani mkuu wa mkoa unaongelea chakula baadala ya kuongelea ulizungmza nini na hao watumishi wa Mungu.
 
NANUKUU

"Mungu akasema nami, kutana na viongozi wa dini... nikataka siku hiyo wale chakula cha kimataifa... lakini pesa nikawa sina..... nikakopa pesa Shs 50,000,000/= kwa rafiki wa mke wangu..... Hata Askofu Kakobe alistaajabu kwa menu ile... kama ya hoteli ya nyota sita.

Mzee Mengi aliporejea nchini nikamuambia... nadaiwa..... akalipa pesa zote Shs 147,000,000/=".

Hakika tunaye mkuu wa Mkoa Mbunifu.
Mungu wa Abrahamu, Osaka na Yakobo siku hizi anaongea na kuwapenda mashetani tu ameachana na binadamu. Mimi ni msema kweli lakini Mungu hanipendi ndo maana hata uteuzi sipati.
 
Dogo wacha kukufuru wewe! Yaani viumbe wote hao ushawaona bado ni wadogo kwako unaona ujiweke level ya Mungu sasa ndio mzungumzaji wako!
 
Back
Top Bottom