chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
mkomange mwendawazimu mkomange just singin old song........loudlykila kukicha yeye ni kilele kwenye vyombo vya habari, vitendo zero. ingefaa vyombo vya habari vifungiwe vyote tuone kama atafanya kazi
angekuwa wa ccm ungesemaje? think criticallyMameya wa UKAWA mmesikia.Hiyo sio ajira kuwa kutwa mko maofisini manispaa au jiji.Kafungueni mashamba hata ya mchicha.Meya ni mwenyekiti wa vikao sio ofisa wa mwajiriwa wa halmashauri au jiji.
unamaanisha kingunge inabidi awe hata mwenyekiti chadema?Haka ka jamaa kanahisi Kako next to president in power!! Kama vijana anaowassifia ngosha ni wa hovyohovyo kivile basi bora kingunge mara elfu