Makonda: Meya wa jiji ni bora akawa na shughuli nyingine maana kazi yake sio kazi ya utawala!

Maombi aliyoombewa naona yanamfanya ndivyo-sivyo.

Busara ni bidhaa adimu sana.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ameelezea mipaka yake ya kazi kati yake na meya wa jiji kwa kuwa watu wengi huwa wanachanganya
Amesema meya wa jiji ni amechaguliwa na madiwani kuwa mwenyekiti wao, kama ilivyo kwa spika wa bunge alivyochaguliwa na wabunge kuwa mwenyekiti wao na kazi yao ni kuwa mwenyekiti wa kikao
Ameongezea kuwa kiutaratibu meya anaingia manispaa mara mbili kwa wiki na inapendekezwa akatafuta shughuli nyingine maana kazi yake sio kazi ya utawala

Hebu anza kumshauri naibu spika atafuta kazi nyingine coz mpaka bunge lije likae ni mpaka mwezi wa 11 huko!
 
1467719622043.jpg
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ameelezea mipaka yake ya kazi kati yake na meya wa jiji kwa kuwa watu wengi huwa wanachanganya
Amesema meya wa jiji ni amechaguliwa na madiwani kuwa mwenyekiti wao, kama ilivyo kwa spika wa bunge alivyochaguliwa na wabunge kuwa mwenyekiti wao na kazi yao ni kuwa mwenyekiti wa kikao
Ameongezea kuwa kiutaratibu meya anaingia manispaa mara mbili kwa wiki na inapendekezwa akatafuta shughuli nyingine maana kazi yake sio kazi ya utawala

Basi haaya!!!
Ngona tujipatie selfie siyeee!!!!!!
 
Ni wazi sasa kuwa John alimuweka hapo avuruge mambo.
RC sio mjumbe wa baraza la madiwani hivyo usimamizi wa nini kimeamuliwa kuhusu fedha za maendeleo za halmashauri sio wake. Asitake kupotosha na kujivika mamlaka yasiyo yake na kuleta migogoro.
Nakumbuka siku madereva wa ubungo walivyo mshushia kipigo hadi akajifichq miguuni mwa ocd
 
Mameya wa UKAWA mmesikia.Hiyo sio ajira kuwa kutwa mko maofisini manispaa au jiji.Kafungueni mashamba hata ya mchicha.Meya ni mwenyekiti wa vikao sio ofisa wa mwajiriwa wa halmashauri au jiji.
Je dunian kote iko hivyo, pia ni kwa nchi zote au Dar tu? Na je Dar ni specila kuliko majiji yote duniani kis RC ana maono yake?

Only in TZ!
 
Hivi huyu jamaa ashawai kujiuliza kwanini raisi anaongeaga na wazee wa dar na sio mikoa mingine?, Dar ina wenyewe we ngoja muone na hii mizuka yake isiyoisha kila kukicha na Kiki za media.
 
Mameya wa UKAWA mmesikia.Hiyo sio ajira kuwa kutwa mko maofisini manispaa au jiji.Kafungueni mashamba hata ya mchicha.Meya ni mwenyekiti wa vikao sio ofisa wa mwajiriwa wa halmashauri au jiji.
Mlibana mwisho mkawachia sasa tulieni sindano ya ukawa iwangie vema
 
majukumu ya meya ni pamoja na kusign madocument ya vitu vingi tu katika jiji hilo. Sasa unasaini vipi vitu bila kuviangalia na kuhakikisha viko kwenye mstari.

Anasiku mbili kama atataka kutembelea kwenye almashauri yake, akagague maendeleo na pia ni siku ya kupokea malalamiko ya wananchi wa almashauri yake. Sasa utalalamikiwa bila kuona kinacholalamikiwa.

Kuna haja ya kutafsiri upya hizi nafasi za kiserikali maana watu watachanganya wananchi.
 
Back
Top Bottom