Makonda: Meya wa jiji ni bora akawa na shughuli nyingine maana kazi yake sio kazi ya utawala!

Makonda yupo low kiasi hiki, shame to him.
Anaongea upumbafu gani?
Anafananisha bunge na manispaa?
Aibu kwa vijana,
kama ajui anyamaze tu, kuliko kuwa roporopo
 
Mameya wa UKAWA mmesikia.Hiyo sio ajira kuwa kutwa mko maofisini manispaa au jiji.Kafungueni mashamba hata ya mchicha.Meya ni mwenyekiti wa vikao sio ofisa mwajiriwa wa halmashauri au jiji.
Hahahahaaaa Jamii forum raha sana naongeza cku za kuish
 
Back
Top Bottom