Makonda: Mashoga wanataka kuniangamiza

As if mtu kupumuliwa mgongoni kunahitaji ruhusa ya mamlaka!
YANI NIMEWAZA WATU 150 WAKUTANE KINONDONI!
lilikuwa kongamano au mkutano wa mashoga ,af kinondoni!
lazima itakuwa ni Biafra!
na lazima watakuwa walitumia vipaza sauti!
ahahhahahahhaahahahahhah hiii nchi bana!
na sasa hivi imekuwa huu mkoa bana!
 
Mkiona mtu anasema kuwa achana na mashoga au kuwatetea mjue kuwa huyo ni mdau,Hata humu Jamii forum mnaotetea mashoga mtakuwa wadau tu,Haiwezekani mpaka bunge la jamhuri limepiga marufuku ,serikali inapiga marufuku wewe mr.bigman na carbamazine unasema makonda aaachana nayo sio sahihi nadhani wanaoshabikia lazima watakuwa wadau,

Nchi za wenzetu wanaopinga wakikamatwa wanateketezwa kabisa sio kunyongwa tu. Kwa upande mwingine RC makonda nakuunga mkono wewe pambana nao kwa sababu walishakutangazia ubaya Wanaoona tanzania ni shida wahamie nchi husika zinazoruhusu hiyo hali. RC makonda Kuna namna nyingine Bar,guest house zote, Casino na Club zote zifungiwe security and recording camera hii itanaini vitu vingi sana.

Security na recording cameras kila mjenzi wa nyumba aweke kwa garama yake then serikali kupitia jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola wasaidie kufanya monitoring. Ivi suali langu ni ratio ya wanawake Tanzania ni kubwa kuliko wanaume,Kwa nini mnaopenda mashoga msioe tu wanawake hata kwa ratio ya 4/1? wake up Tanzanian...Faida yako ni wewe na familia yako ukiteetea ushoga unaidhalilisha familia yako
 
ila mata.ko na miku.ndu si yao jamani? Waacheni siku ya kiama si wao watajua wenyewe banah kwanza tunawapa kick bureeeee waaaiiii
 
Jamani kumbe kuna vyeo vingine vigumu. Mimi kuanza kulumbana na kundi la mashoga yaani hata siwezi kabisa!
 
Teh teh teh eti mashoga wanataka kumdhuru. Duhh, hii inanikumbusha ile stori ya shoga aliyempiga mwizi kwa sponji huku akiamini kamuumiza!
Eti "sina akaunti ambayo inaanza na cheo changu, hivyo akaunti zote zangu zimeandikwa kwa jina langu Paul Makonda si vinginevyo, hivyo kila mtu anapaswa kuwa makini na hilo". Basi hii hapa angeomba ifungwe vinginevyo inapotosha watu:
RC Paul Makonda | Facebook
 
awe
anachuja mambo anayoongea................
 
Hii account kama siyo basi hao jamaa wanaoimiliki ni Nouma mana Du unaweza sema yake.
 
Hawa watu ni kuwakataa kwa nguvu zote kwenye jamii yetu naungana na makonda asilimia Mia nyinyi wateteeni tu hili swala ata maandiko matakatifu yanalipinga makonda asikate tamaa hawa watu wanaungwa Na watu wengi pambana ni Vita hii
Nakubaliana nawe wakamatwe kwa nguvu zote lakini napasha mashaka kama RC alijua walikutana Sinza, wakaweka kikao hivi si ulikuwa kazi rahisi sana kuwakamata hao 150 angalau idadi yao ingepungua AU kahofia magereza yangejaa? Sijapata jibu na hyo intelenjisia yao ya kukamata 4 kati ya 150.
 
Si aombe kazi kituo chochote cha TV au redio? Kila siku kwenye media, au hana jukwaa lolote la kutumia kuongea mambo yake hayo!
 
Jana nilikuwa nasikiliza BBC World Service kama kawaida yangu.

Walikuwa wanatangaza kutoka Cleveland Ohio kufuatilia uchaguzi wa Marekani. Ninachowapendea BBC World Service ni kwamba huwa wanafuatilia habari kwa angle tofauti. Badala ya kumuhoji Donald Trump au Mike Pence, wakawa wanahoji vijana wadogo sana (in their teens and early twenties). Harvard University imepeleka vijana 100, wawili kutoka kila state ya USA. Vijana hawa ni "pages", ni kama vijakazi wa mabunge ya mikoa ya US, wanasaidia kazi na kujifunza uongozi kutoka miaka 18.

Wale vijana wakawa wanaulizwa, mnataka kuona nini katika uongozi unaokuja.

Kitu kimoja kilikuwa kinajirudia rudia sana kwa wengi wao.

Walikuwa wanasema wanataka Conservatives na chama cha Republican waache kujikita kwenye siasa za social issues (kushambulia abortion, mashoga etc) na kusisitiza zaidi umuhimu wa kuangalia uchumi.

Nikasema hawa vijana washaona ujinga wa wazee wao.

Tanzania mpaka vijana wanashikia bango mambo ya ushoga wakati watu hawana kazi, hawana elimu, wana magonjwa sana etc.

Priorities!
 
Muheshmiwa Paul makonda naye amekuwa akitafuta kiki kama wasanii wa bongo vile.
Kama mkoa na taifa kwa ujumla tuna matatizo mengi ya msingi sio kutumia muda na pesa nyingi kujadili mambo ya kijinga haya.
 
Hahaaahaa! kaunzisha mduara halafu yeye mwenyewe hawezi kuzunguka. Kazi anayo.
 
Kuanzisha vita na mashoga ni kujitafutia balaa. Soon the war will cross the borders into the unkown
Balaa ya nini wewe... hawa ni wamelaniwa kwahivyo popote walipo ni kupigwa vita.

Mkuu unashindwa kufikiri juu jambo la ushoga kuwa hata muumba aliwaadhibu kwa kuaangamiza hawa jamaa.. Jitambue.
 
Eeeh! Mashoga 150!!! Dar Tu?? Eeeh.....! Wote hao wakakaa kikao cha kumdhuru mweshimiwa!!? Isijekuwa hata hii habari Mnamsingizia Mheshimiwa!
 
Dunia inakwenda kwa mwendo kasi kweli zamani shoga akiwa kariakoo basi jirani yake yupo kibamba leo katika mitaa mitatu mashoga watano. Ila khatari wanatokea watu na kutetea kuwa haki zao ziheshimiwe!
 
it takes one of a similar kind to fight the other.............................'Living in denial' thinking out loud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…