mtongwe JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 1,659 Reaction score 4,484 Sep 14, 2019 #21 Makonda na miziki hiyo wapi n wapi na kwa enzi gani anazokwenda kukumbuka pale.....
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,016 Sep 14, 2019 #22 Walimfanyia nini mkuu TCA said: Wakenye wali mfanyia ushenzi aka wakimbia akaenda Radio Uhuru Click to expand...
Walimfanyia nini mkuu TCA said: Wakenye wali mfanyia ushenzi aka wakimbia akaenda Radio Uhuru Click to expand...
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,926 Sep 14, 2019 #23 Aisee bora umeweka hapa nimesha change direction
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,864 Reaction score 23,473 Sep 14, 2019 #24 Enzi hizo Bashite alikuwa hajafika Town
K Kamongo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2009 Posts 2,369 Reaction score 2,740 Sep 15, 2019 #25 MTAZAMO said: Watu wa zamani si wa mchezo mchezo ....check hii View attachment 1207434 Click to expand... Hii ngoma namkumbuka Dj Danny Star alikuwa anapiga Hotel Continental na YMCA ilikuwa balaa
MTAZAMO said: Watu wa zamani si wa mchezo mchezo ....check hii View attachment 1207434 Click to expand... Hii ngoma namkumbuka Dj Danny Star alikuwa anapiga Hotel Continental na YMCA ilikuwa balaa