Makonda leo clouds habari

Makonda leo clouds habari

Kwahiyo kumbe zile kashfa za makonda alizomtuhumu ruge ni za kweli!!

Maisha bila unafiq hayaendi
 
Wenye uwezo mzuri wa kufikiri waliyaona haya mapema sana,lakini mashabiki maharagwe na hamnazo walishangilia sana.

Hongera Makonda na Clouds,fanyeni kazi kwa maslahi ya wana Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.

File limefungwa Meena na wahuni wenzake watafute kingine
 
ITV wanachekesh SNA mkuu badala ya kutuhabarisha yanayojiri mkoani DSM hasa hasa ujenzi wa miundo mbinu ya shule wamenuna kama wanawake
 
Back
Top Bottom