Wakusini
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 804
- 610
Umebaki na hayo hayo,we unacho? Aibu ya mwaka,wekeni akiba ya manenoCheti kapata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umebaki na hayo hayo,we unacho? Aibu ya mwaka,wekeni akiba ya manenoCheti kapata?
Tanzania ipi hyo.clouds ndio moja ya stesheni kubwa zinazoongoza Tanzania,
Makonda you need clouds kwa campaign/awareness ya kazi zako,
tegemea support kubwa,wananchi wakiamka,
msitibuane tena,
nyie vijana msigombane tena,
Tanzania inawahitaji nyie BOTH.
Bawacha tengenezeni bifu nyingine...hii ya Makonda ma Ruge ni 'zilipendwa'This is rubbish
Nape sijui atakuwa anajisikiaje. Ugomvi wa watoto ukamgharimu kazi yake nzuri. Sasa watoto wanacheza pamoja kama kawaida, walishasahau hata kwamba walishawahi kugombana.
Mkataba wa Berlin
Nirushe Hewani niruhusu Fiesta yako
Kataa nipige Marufuku Matamasha ya Usiku kwenye Mkoa wangu!
Mboga ya Moto, bakuli la Moto, kijiko cha Moto na Lips zimepakwa Pilipili kichaa Halafu unalazimishwa kunywa Mchuzi wa Moto
I'm proud to be Tanzanian
Pohamba nilishaanza kuandika kuhusisha kuonekana RC dar na Fiesta..Nimeifuta baada ya kuona post yako.Very clever man ! Na wangeacha tu, Fiesta dar ingekuwa mwisho saa 12 jioni AU kamati ya ulinzi dar kubaini ufunjifu mkubwa wa amani na maadili wakati wa fiesta hivyo kufutiliwa mbali hapa dar.BIASHARA NDIYO KILA KITU.
Upo we mtu?amesema nini mkuu?
Upo we mtu?
amesema nini mkuu?