Makonda leo clouds habari

Makonda leo clouds habari

Ngoja nisubiri mange atasemaje

blame no body[/QUOTE]



blame no body
 
Bavicha wana kamsemo kao wakila Matapishi

'Hakuna Adui wa kudumu kwenye Siasa' hahahah
wakati wakipiga kibwagizo hicho, wanajua kabisa kuwa hakuna ukweli: katibu mkuu wa chama yuko canada............................
 
clouds ndio moja ya stesheni kubwa zinazoongoza Tanzania,

Makonda you need clouds kwa campaign/awareness ya kazi zako,

tegemea support kubwa,wananchi wakiamka,

msitibuane tena,

nyie vijana msigombane tena,

Tanzania inawahitaji nyie BOTH.
are these your own words?
 
Safi sana vijana chapeni kazi sasa...
 
yes,nimevurunda eeeh?@Gama
Hufananii maneno hayo
baada ya kejeri za mteule nilihisi clouds wangekubali kupoteza hiyo fursa. Hata Nesta aliimba "when one door is closed, many more are open"
 
habari wakuu

Nimemtizama RC DSM katika habari clouds muda huu nimefurahi sana

Vijana oyeeeeeee

Hive kwa nini asiende Radio Tanzania au TBC ambayo ni ya Umma? Badala ya kuinufaisha radio yetu ya wanyonge, mnakwenda kuifaidisha redio za watu binafsi
 
kama kufaidisha vyombo vya umma mbona mh makonda aliwapatia msaada wa vitendea kazi na usafiri
 
Nape sijui atakuwa anajisikiaje. Ugomvi wa watoto ukamgharimu kazi yake nzuri. Sasa watoto wanacheza pamoja kama kawaida, walishasahau hata kwamba walishawahi kugombana.
 
Back
Top Bottom