vijana wa pengo wako area,wanatisha kama njaa,"nitalala nao mbereee"Ingekua hayo maneno kasema Yusufu makamba hao viongozi wa dini wangepiga kelele
mkuu ka mashine kakufyatulia unako kamoja,,,Mimi ngoja nijikite zaidi kwenye kufyatua watoto, maandamano naachana nayo, wakina mama kaeni mkao wa kufyatua watoto
inabidi wafunge midomo,waache kulalamika,tunataka tutulie tuone peformance ya mswahili na mbara,then tufanye judgement.Usitarajie kuungwa Mkono na viongozi wa dini kipindi hiki rais akiwa Mkristo,
Mimi hata sioni viongozi wa dini wanaingiaje hapo; mtu huvuna alichopanda na yatakayompata mtu atakuwa amejitakia mwenyewe. Ukitaka amani na uongozi wa nchi au mtu yoyote utaipata; ukitafuta shari na uongozi au mtu yoyote utaipata pia. Hiyo ndio dini na uchaguzi ni wako sio wa mashehe na maaskofuUnachosema ni sawa kauri nyingine siyonzuri na karibia tutazizoea sasa katika nchi yetu maana ni nyingi! lakini kuwalaumu viongozi wa dini siyo vizuri! Makonda yuko chini ya nani? Kiongozi wa dini aliyejaribu kuongea mambo mbalimbali tuliona alivyokuwa akiviziwa ili akamatwe, wakaahidi mpaka kutumia Interpol kumkamata kama vile alikuwa amefanya kosa lakupindua serikal!
Katiba yetu haiwapi mamlaka viongozi wa dini kuwakosoa viongozi kisiasa. huwa wanafanya hivyo kama raia wengine wanavyofanya wakijiegemeza kwenye moral rights na siyo legal rights. Kufanya hivyo hakuto walekebisha viongozi wetu ambao wameamua kufuata mlengo furani wa utawala hata kama unakinzana na katiba. Zaidi sana vataonekana ni wachochezi.
Utakuwa umeandika haya kabla ya kujua majukumu ya viongozi wa dini, labda nikusaidie tu ni kwamba,
Kazi ya kiongozi wa dini ni kuongoza mwili na roho ya muumini wake, kumuweka kwenye misingi ya haki na upendo kwa jirani zake, kumpatanisha na Muumba wake ili siku ya kihama asipate hukumu.
Kwa kuwa kila kiongozi wa siasa ni muumini (maana Tanzania sijawahi kuona kiongozi asiyeapa kwa kushika kitabu/vitabu vitakatifu) hivyo anaye kiongozi wake wa kiroho ambaye kwa mujibu wa dini yake/dhehebu lake anawajibika kwake, hivyo kiongozi wa dini mkweli na muadilifu anayo nafasi ya kumkemea au kumsahihisha huyo muumini bila kujari cheo chake kisiasa.
JE HUKUMUONA MAKONDA AMEPIGA MAGOTI KUPOKEA MBALAKA KUTOKA KWA KIONGOZI FULANI WA DINI HAPA DAR?
Atakuwa ametimiza wajibu wake kama kiongozi wa dini, na pia dini ndio sheria kuu isiyo na polisi wala magereza lakini ina hukumu siku ya mwisho.Huo wajibu wote ulioutaja wa viongozi wa dini si wa kisheria kama nilivyoandika hapo juu! kiongozi wa dini atamfanya nini kiongozi wa serikal ambaye anakosea kwa makusudi kabisa! kama ikitokea akamshauri mshauriwa akaendelea na tabia yake ambayo kwa kiwango kikubwa ni ya kulinda chama na si wokovu atamfanyaje!
OK tufanye umezungumzia viongozi wa dini ya Paul makonda!! mi huwa sipendi kuendeleza mijadala yenye kutengeneza chuki baina ya watanzania!!Kichozungumzwa hapa ni kauli hatarishi amani. Sijasemea maandamano kua ni halali au fake.
UMEFANYA SIASA KUWA MAISHA YAKO NA KAMA ILIVYO SIASA NI UONGO, UDANGANYIFU UNAOFANANA NA UKWELI HIVYO UMEIFUNGA AKILI YAKO KTK MLENGO WA KUSHOTO! POLE SANA KIDAYASAINI MI NAKUSHAURI NENDA SADARUKI KWA MATIBABUNenda kayasemehe irani haya sisi huku tunajadiri siasa za Tanzania hatuwajui hao sumi au bhokoharamu!
IPP (international pumba point) huko shule mlienda kusoma nini? swali hili kutoka kwa mmama mkongwe jf linakuhusu piaAtakuwa ametimiza wajibu wake kama kiongozi wa dini, na pia dini ndio sheria kuu isiyo na polisi wala magereza lakini ina hukumu siku ya mwisho.
Mkirito kwani ndio nini kwanini sisi wakristo wengine tunamwambia ukweli??Usitarajie kuungwa Mkono na viongozi wa dini kipindi hiki rais akiwa Mkristo,