Makonda, kwa kauli hii ukatubu tu

Makonda, kwa kauli hii ukatubu tu

Makonda ana points kichizi msikilizeni Cloud radio NOW...Hes good
 
Makonda ana points kichizi msikilizeni Cloud radio NOW...Hes good
Ni kweli, kuna mambo ya msingi hata mimi naona anaongea vizuri sana! Lakini kwa hali yake hii atubie tu.
 
Huyu bwana kuna kauli ambayo mpaka leo wazalendo tunaitafakari nini hatima yake, "Atakayeandamana ni halali yangu" .Hii halali yake kapewa na nani? Kiongozi aliyepewa dhama ya kuwa mbele ya wananchi wenye itikadi mbali mbali unatamka kauli kama hii anamtisha nani?

Nashangaa sana viongozi wa dini wapo kimya kwenye kauli kama hizi, sijui wanafikiria nini, kwanini hakuna kiongozi hata mmoja wa kujitokeza na kukemea kauli kama hii? Viongozi wetu wa dini ni Mungu yupi wanaotuhubiria tumwabudu? Tuwaamini kwa lipi ilihali mambo muhimu kama haya wanaogopa kuyakemea? Wako nyuma ya nani?

Wanamuogopa nani?Nafasi yao kwenye amani ya taifa letu tulivu ni nini? Inauma sana kwakweli.
Kwanza makonda ajitokeze yeye mwenyewe mbele ya waandamanaji ili kuwapata hao harari zake asitume polisi wala mgambo.

Pili siku hizi hatuna viongozi wa dini tuna watu wanaokaa kwenye nyumba za ibada kungojea matolea ya walala hoi tu baasi.
 
Mpuuzi siku zote huwaza na kuongea kipuuzi na upuuzi. Haka kamakonda kamelewa madaraka ya kupewa kwa kulamba viatu.
 
Huyu bwana kuna kauli ambayo mpaka leo wazalendo tunaitafakari nini hatima yake, "Atakayeandamana ni halali yangu" .Hii halali yake kapewa na nani? Kiongozi aliyepewa dhama ya kuwa mbele ya wananchi wenye itikadi mbali mbali unatamka kauli kama hii anamtisha nani?

Nashangaa sana viongozi wa dini wapo kimya kwenye kauli kama hizi, sijui wanafikiria nini, kwanini hakuna kiongozi hata mmoja wa kujitokeza na kukemea kauli kama hii? Viongozi wetu wa dini ni Mungu yupi wanaotuhubiria tumwabudu? Tuwaamini kwa lipi ilihali mambo muhimu kama haya wanaogopa kuyakemea? Wako nyuma ya nani?

Wanamuogopa nani?Nafasi yao kwenye amani ya taifa letu tulivu ni nini? Inauma sana kwakweli.
Ingekua hayo maneno kasema Yusufu makamba hao viongozi wa dini wangepiga kelele
 
Unachosema ni sawa kauri nyingine siyonzuri na karibia tutazizoea sasa katika nchi yetu maana ni nyingi! lakini kuwalaumu viongozi wa dini siyo vizuri! Makonda yuko chini ya nani? Kiongozi wa dini aliyejaribu kuongea mambo mbalimbali tuliona alivyokuwa akiviziwa ili akamatwe, wakaahidi mpaka kutumia Interpol kumkamata kama vile alikuwa amefanya kosa lakupindua serikal!

Katiba yetu haiwapi mamlaka viongozi wa dini kuwakosoa viongozi kisiasa. huwa wanafanya hivyo kama raia wengine wanavyofanya wakijiegemeza kwenye moral rights na siyo legal rights. Kufanya hivyo hakuto walekebisha viongozi wetu ambao wameamua kufuata mlengo furani wa utawala hata kama unakinzana na katiba. Zaidi sana vataonekana ni wachochezi.
Utakuwa umeandika haya kabla ya kujua majukumu ya viongozi wa dini, labda nikusaidie tu ni kwamba,

Kazi ya kiongozi wa dini ni kuongoza mwili na roho ya muumini wake, kumuweka kwenye misingi ya haki na upendo kwa jirani zake, kumpatanisha na Muumba wake ili siku ya kihama asipate hukumu.

Kwa kuwa kila kiongozi wa siasa ni muumini (maana Tanzania sijawahi kuona kiongozi asiyeapa kwa kushika kitabu/vitabu vitakatifu) hivyo anaye kiongozi wake wa kiroho ambaye kwa mujibu wa dini yake/dhehebu lake anawajibika kwake, hivyo kiongozi wa dini mkweli na muadilifu anayo nafasi ya kumkemea au kumsahihisha huyo muumini bila kujari cheo chake kisiasa.

JE HUKUMUONA MAKONDA AMEPIGA MAGOTI KUPOKEA MBALAKA KUTOKA KWA KIONGOZI FULANI WA DINI HAPA DAR?
 
Kitendo cha Jana kuzomewa mbele ya bosi wake tena kwenye mkutano wao wa kichama alipaswa kukaa chini na kujiuliza wapi anakosea.
Maana ingekuwa mkusanyiko wa kawaida angesema Vijana wametumwa na wapinzani lakini wale ni kijani wenzie. Namhurumia sana maana ule ni mwanzo tuu asije kuta anapigwa nyanya mbovu bure!
Kaka una clip yake unitumie inbox aliyozomewa? Asante
 
kwani mungu ameruhusu maandamano mpk uwashutumu viongozi wa dini? nadhani unajua kuwa sheikh akizungumza ni gaidi moja kwa moja alafu bado unalaumu tu au unapenda masheikh wanavyoitwa magaidi? kama ulikusudia viongozi wa dini ya kikristo ulitakiwa useme na sio tu kusema viongozi wa dini!!
THEN TUNAOMBA MUWEKE AKILINI "WAISLAMU HASA SUNNI HATUNA UGOMVI WALA CHUKI NA MTAWALA KTK NCHI HIVYO MAMBO YAKUTENGENEZA CHOKO CHOKO MUACHE" SIE WALA HATUSAPOTI UJINGA MAMBO YENU NA CHUKI ZENU ZA KISIASA HATUTAKI MUHUSISHE NA DINI YETU
Nenda kayasemehe irani haya sisi huku tunajadiri siasa za Tanzania hatuwajui hao sumi au bhokoharamu!
 
Hana kitu huyu ntegemea ofa ofa zaidi ya matamko buku jero yasiyo na Tija wala faida wala kutekelezeka.
 
Mimi naamini mpaka tarh 25th august 2016,neno UKUTA LITAKUWA LIMEKUFA.Wanadini hawawezi kujihusisha kwenye mijadala ya Kuandamana kwa sababu wanajikita zaidi kwenye shughulli za kuhubiria wananchi amani.Itakuwa ajabu kwao wanataka Amani halafu wanaona mvuluga amani anajitokeza. Hii ni Hatari
 
Back
Top Bottom