Makonda, kwa kauli hii ukatubu tu

Makonda, kwa kauli hii ukatubu tu

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Huyu bwana kuna kauli ambayo mpaka leo wazalendo tunaitafakari nini hatima yake, "Atakayeandamana ni halali yangu" .Hii halali yake kapewa na nani? Kiongozi aliyepewa dhama ya kuwa mbele ya wananchi wenye itikadi mbali mbali unatamka kauli kama hii anamtisha nani?

Nashangaa sana viongozi wa dini wapo kimya kwenye kauli kama hizi, sijui wanafikiria nini, kwanini hakuna kiongozi hata mmoja wa kujitokeza na kukemea kauli kama hii? Viongozi wetu wa dini ni Mungu yupi wanaotuhubiria tumwabudu? Tuwaamini kwa lipi ilihali mambo muhimu kama haya wanaogopa kuyakemea? Wako nyuma ya nani?

Wanamuogopa nani?Nafasi yao kwenye amani ya taifa letu tulivu ni nini? Inauma sana kwakweli.
 
Nashangaa sana viongozi wa dini wapo kimya kwenye kauli kama hizi, sijui wanafikiria nini, kwanini hakuna kiongozi hata mmoja wa kujitokeza na kukemea kauli kama hii? Viongozi wetu wa dini ni Mungu yupi wanaotuhubiria tumwabudu? Tuwaamini kwa lipi ilihali mambo muhimu kama haya wanaogopa kuyakemea? Wako nyuma ya nani? Wanamuogopa nani?Nafasi yao kwenye amani ya taifa letu tulivu ni nini? Inauma sana kwakweli.
Hala hala mkuu, usijeingia anga za wanasiasa wanotaka kuinukia mgongo wako.
Hapo Mashekhe na Makasisi hawatakusaidia zaidi ya kukupa pole.
 
Unachosema ni sawa kauri nyingine siyonzuri na karibia tutazizoea sasa katika nchi yetu maana ni nyingi! lakini kuwalaumu viongozi wa dini siyo vizuri! Makonda yuko chini ya nani? Kiongozi wa dini aliyejaribu kuongea mambo mbalimbali tuliona alivyokuwa akiviziwa ili akamatwe, wakaahidi mpaka kutumia Interpol kumkamata kama vile alikuwa amefanya kosa lakupindua serikal!

Katiba yetu haiwapi mamlaka viongozi wa dini kuwakosoa viongozi kisiasa. huwa wanafanya hivyo kama raia wengine wanavyofanya wakijiegemeza kwenye moral rights na siyo legal rights. Kufanya hivyo hakuto walekebisha viongozi wetu ambao wameamua kufuata mlengo furani wa utawala hata kama unakinzana na katiba. Zaidi sana vataonekana ni wachochezi.
 
Huyu ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, tumeona akijaribu kukaa na kutoa maelekezo kwa vyombo vyetu vya usama na hatujui alikua akitoa maelekezo gani! Kauli kama hii kupitia matukio tuitafsiri vipi? Hivi kile chuo cha Magogoni kimekufa jamani?
 
1471094234303.jpg
 
Kitendo cha Jana kuzomewa mbele ya bosi wake tena kwenye mkutano wao wa kichama alipaswa kukaa chini na kujiuliza wapi anakosea.
Maana ingekuwa mkusanyiko wa kawaida angesema Vijana wametumwa na wapinzani lakini wale ni kijani wenzie. Namhurumia sana maana ule ni mwanzo tuu asije kuta anapigwa nyanya mbovu bure!
 
Yupo ofisini kwake pale studio za clouds anabw tuka sasa hivi! Anasema tanzania haina tatizo la ajira kwa kuwa kuna wageni wengi wanaingia nchini na. Kutajirika,anasema pia kuwa hakuna tatizo la ajira kwa kuwa juzi tu hapa alikuja waziri mkuu wa India na kututaka tulime Dengu! Anashangaa wahitimu wa vyuo vikuu wakitembea na bahasha za khaki kutafuta ajira!! Haya shime wahitimu wote Tukalime DENGU!! Bado yupo!
 
kwani mungu ameruhusu maandamano mpk uwashutumu viongozi wa dini? nadhani unajua kuwa sheikh akizungumza ni gaidi moja kwa moja alafu bado unalaumu tu au unapenda masheikh wanavyoitwa magaidi? kama ulikusudia viongozi wa dini ya kikristo ulitakiwa useme na sio tu kusema viongozi wa dini!!
THEN TUNAOMBA MUWEKE AKILINI "WAISLAMU HASA SUNNI HATUNA UGOMVI WALA CHUKI NA MTAWALA KTK NCHI HIVYO MAMBO YAKUTENGENEZA CHOKO CHOKO MUACHE" SIE WALA HATUSAPOTI UJINGA MAMBO YENU NA CHUKI ZENU ZA KISIASA HATUTAKI MUHUSISHE NA DINI YETU
 
Kichozungumzwa hapa ni kauli hatarishi amani. Sijasemea maandamano kua ni halali au fake.
 
Mimi ngoja nijikite zaidi kwenye kufyatua watoto, maandamano naachana nayo, wakina mama kaeni mkao wa kufyatua watoto
Kweli mkuu tufyatuo tu,wenzetu nje ya nchi wapo bussy kubuni vitu vipya sisi tunashauriwa kufyatua watoto,,aibu hii tutaificha wapi
 
Huyu bwana kuna kauli ambayo mpaka leo wazalendo tunaitafakari nini hatima yake, "Atakayeandamana ni halali yangu" .Hii halali yake kapewa na nani? Kiongozi aliyepewa dhama ya kuwa mbele ya wananchi wenye itikadi mbali mbali unatamka kauli kama hii anamtisha nani?

Nashangaa sana viongozi wa dini wapo kimya kwenye kauli kama hizi, sijui wanafikiria nini, kwanini hakuna kiongozi hata mmoja wa kujitokeza na kukemea kauli kama hii? Viongozi wetu wa dini ni Mungu yupi wanaotuhubiria tumwabudu? Tuwaamini kwa lipi ilihali mambo muhimu kama haya wanaogopa kuyakemea? Wako nyuma ya nani?

Wanamuogopa nani?Nafasi yao kwenye amani ya taifa letu tulivu ni nini? Inauma sana kwakweli.
Makonda ni "maskini aliyepata"! Mvumilieni tu! Ulimbukeni wa madaraka hawezi kuukwepa.! Isipokuwa hao viongozi wa kidini wao unafiki ni asili yao. Tena ukiwatazama hao hata kusali utaacha. Na ndiyo maana huendesha ibada za misiba ya wakubwa tu.
 
Msameheni jamani basi kijana. Mwombeeni kwa Mungu apate hekima ya kuongoza Dar ed Salaam. Ni pagumu hapa
 
Back
Top Bottom