Makonda kuweka umeme shule zote za msingi na sekondari jijini Dsm

SHULE ZOTE KWELI..??? Au shule ambazo hazikuwa na umeme..??? Na 98% ni shule zao za kata.

Ila ajifunze kuweka vipaumbele vizuri. Tatizo la elimu kwa Dar sio umeme. Ni shule za kata kutokuwa na walimu wazuri. Primary wanaotoka saa 8 umeme hauna tija sana kwao, labda walimu kuchajia simu zao.

Kama kweli kaamua kuingia kwny sekta ya elimu, asumue ubongo kuangalia zile sababu korofi zinazofanya shule nyingi za Dar, especially za kata, kushika mkia.

Good move, but setting priorities ni tatizo. Na hili nadhani ni ugonjwa wa familia cz hta mkuu wa kaya huwa anashindwa hapa. Kuweka au hta kujaribu kuweka airport Chattle ni uzwazwa uliotukuka...!!!
 
Hivi mmeielewa hiyo taarifa au ni uInzi wa kijani unawasumbua?
 
Safi sana Makonda. Piga kazi ndugu yetu, piga kazi kwa kujiamini. Waache byumbu waendelee kusuasua watakuelewa tu 2020
 
Back
Top Bottom