Makonda kuwavaa mawakala wa usafi wenye mgongano wa kimaslahi!!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
36,140
29,670
Wabunge na madiwani wa UKAWA mlioko Dar "kuweni wastaarabu msijifanye wastaarabu"

Mh RC Paul Makonda ametoa agizo kwa watumishi wa umma na madiwani ambao kampuni zao zinahusika na usafi jijini Dar kunyang'anywa tender hizo mara moja kwani zina mgongano wa kimaslahi na ni kinyume na taratibu.

Huu ni mwiba mwingine kwa madiwani na wabunge maslahi waliozoea kujimegea mpunga wa manispaa za jiji na kuliacha jiji katika hali ya uchafu .
 
Kweli wewe ni jingalao tena pumbavulao waliokuwa wanafaidika na tenda ni ccm wewe nyambafulao
 
Wabunge na madiwani wa UKAWA mlioko Dar "kuweni wastaarabu msijifanye wastaarabu"

Mh RC Paul Makonda ametoa agizo kwa watumishi wa umma na madiwani ambao kampuni zao zinahusika na usafi jijini Dar kunyang'anywa tender hizo mara moja kwani zina mgongano wa kimaslahi na ni kinyume na taratibu.

Huu ni mwiba mwingine kwa madiwani na wabunge maslahi waliozoea kujimegea mpunga wa manispaa za jiji na kuliacha jiji katika hali ya uchafu .

Jina lako linasadifu ujinga wako, wenye hizo tenda ni ccm, coz tangu ukawa ichukue jiji sidhan kama imefanya tendering yoyote, so mnajikaanga na mafuta yetu mifisiem
Saiz watu tunaangalia maendeleo wewe bado upo kwenye kampen, kama tenda hazistahil zitolewe tu bila kujal zinamaslah ya chama gan, mambo ya ukawa n ccm tusubr 2020
 
Kinachofanyika sasa hivi ni kuwahiana ili waonekane wanafanya kazi sababu hata makonda asingetoa agizo lazima manispaa wangefanya hivyo maana waliokuwa wanafaidika na hizo tenda ni madiwani wa baraza lililopita ambalo ni ccm
 
Back
Top Bottom