assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Sasa MAISHA nayoishi KIKWETE leo baada ya kustaafu yanafanan na wewe??....Hahta hiyo KESHO ya MAKONDA itaendelea kuwa VIZURI tu.....MSIHISHI KWA KUMEZESHWA MANENO NA HAO WANASIASA ndimi mbili....."Rais kikwete Leo ni mstaafu"
amesikia. elekeza nguvu zako kujadili mambo mengine ya muhimu katika nchi yako na sio kumjadili makonda. wewe umeifanyia nini tanzania katika mapambano ya dawa za kulevya???"Rais kikwete Leo ni mstaafu"
cheo ni dhamana,basi sikiliza ushauri, unaonekana una dhubutu lakin siku zote approach zako unazikosea sana.
jifunze kutoka mawazo ya wengine sio kila ushauri ni tusi.
kabla ya kufanya Jambo kubwa tafuta wanasheria nguli wakushauri kabla ya kulifanya.
Anaamini mtu anayeweza kumshauri ni yule aliyemteua basi, wengine wote ni watu wadogo sana kwake."Rais kikwete Leo ni mstaafu"
cheo ni dhamana,basi sikiliza ushauri, unaonekana una dhubutu lakin siku zote approach zako unazikosea sana.
jifunze kutoka mawazo ya wengine sio kila ushauri ni tusi.
kabla ya kufanya Jambo kubwa tafuta wanasheria nguli wakushauri kabla ya kulifanya.
"Rais kikwete Leo ni mstaafu"
cheo ni dhamana,basi sikiliza ushauri, unaonekana una dhubutu lakin siku zote approach zako unazikosea sana.
jifunze kutoka mawazo ya wengine sio kila ushauri ni tusi.
kabla ya kufanya Jambo kubwa tafuta wanasheria nguli wakushauri kabla ya kulifanya.
Wewe umeyajuaje hayo yote uliyoyaandika kama unafanya yako???Sasa MAISHA nayoishi KIKWETE leo baada ya kustaafu yanafanan na wewe??....Hahta hiyo KESHO ya MAKONDA itaendelea kuwa VIZURI tu.....MSIHISHI KWA KUMEZESHWA MANENO NA HAO WANASIASA ndimi mbili.....
Mfano kina LISSU NA MBOWE walipokuwa wanamtukana LOWASSA wao walijua LEO hii watakuja kumlamba MIGUU????....na je MAISHA ya LISSU na MBOWE kipindi wana mtukana LOWASSA na LEO yanatofauti gani????....FANYA YAKO KIJANA.....tATZO HAPA KUBWA NI KUHUSISHWA KWA mbowe KWENYE HILI....ndio maana kelele kila kukicha...
msihishi=msiishi!!Sasa MAISHA nayoishi KIKWETE leo baada ya kustaafu yanafanan na wewe??....Hahta hiyo KESHO ya MAKONDA itaendelea kuwa VIZURI tu.....MSIHISHI KWA KUMEZESHWA MANENO NA HAO WANASIASA ndimi mbili.....
Mfano kina LISSU NA MBOWE walipokuwa wanamtukana LOWASSA wao walijua LEO hii watakuja kumlamba MIGUU????....na je MAISHA ya LISSU na MBOWE kipindi wana mtukana LOWASSA na LEO yanatofauti gani????....FANYA YAKO KIJANA.....tATZO HAPA KUBWA NI KUHUSISHWA KWA mbowe KWENYE HILI....ndio maana kelele kila kukicha...
what r u talking about?Makonda yupo sawa hajakurupuka ila awe impartial kwenye hii vita asifungamane na mrengo wowote wa kisiasa
maneno mazito sana hayaUkiwa na pesa nyingi,umri wa 40's afu ukakosa mtoto kila mtu unamwona kama adui na kunyanyasa mtoto wa mtu kwako inakuwa kawaida sana...jamaa atatambua kuwa kuna kesho atakapopata mtoto maana atakuwa ameelewa uchungu wa mtoto!