GE2025 Makonda: Kikundi kilichomtukana Magufuli ndio hicho kinamtukana Samia, 'mimi ni size yenu' njooni tupambane

GE2025 Makonda: Kikundi kilichomtukana Magufuli ndio hicho kinamtukana Samia, 'mimi ni size yenu' njooni tupambane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa kikundi kilichokuwa kinamtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Maguli wakati anapambania uhai wake ndio hao hao wanaomtukana Mgombea wa Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan

Makonda ameyasema hayo Leo Oct 8,2025 Katika uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Dkt Samia Suluhu Hassan

Aidha Makonda amewaomba Watanzania kumlinda Dkt. Samia dhidi ya kikundi hicho ambacho kinamtukana Mgombea huyo
 
Waa Arusha sijui wamepeleka wapi ufahamu wao maskini ... huyu mtu sio kabisa wanavyomchukulia . Makonda ni tapeli nyie ebu ZINDUKENI mbona mnakuwa wapumbavu hivyo ?
Hii sio kwa waarusha tu ni kwa watu wote
 
Huyu dogo anastahili kabisa kuwa rais wa machawa wote nchini. Maana yeye ndiyo mwanzilishi kuanzia awamu ya nne mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom