Makonda katika pozi

Makonda katika pozi

Mi mke wangu upige picha vile walah ukirudi utafute pa kwenda
Sasa kama mkeo ndio Rais halafu anakutana na kichaa kama Barrack Obama mwenye tabia ya kupiga kisses mpaka shavu zinabonyea utafikiri ananyonya utomvu utafanyaje,si utaua kabisa wewe?
 
Sasa kama mkeo ndio Rais halafu anakutana na kichaa kama Barrack Obama mwenye tabia ya kupiga kisses mpaka shavu zinabonyea utafikiri ananyonya utomvu utafanyaje,si utaua kabisa wewe?
Mipaka itatambulika tu kwani mtu akikusogelea ukampa mkono atalazimisha
 
Naanza kupata ladha ya ubuyu niliolishwa zaid ya miezi mitano iliyopita.
 
Wanaume wa Dar Hamna staha! Nguo zimewabana hadi mipindo ya kambale,vishati vimewashika mpaka mnagandamizia vi fuku fuku vyenu vya kifuani,na kubebwa mnabebwa tena hadharani, hapo bado poda bado kuchana nyusi bado kupata lotion na lip bam, nafikiria mwanangu kwenda kumlelea mkoani maana hapa ni hatari zaidi za salama
 
Back
Top Bottom