Makonda kamtaja Chid Mapenzi, huyu ni nani? Tupeni file!




Mkuu uko vizur San.. Unaeleza kiundani zaidi
 
nipe connection nipge kazi hiyo maana nahisi kma ina mtonyoo mkubwa tu
 
nipe connection nipge kazi hiyo maana nahisi kma ina mtonyoo mkubwa tu
Kwa imani ya dini yangu,kumsaidia mtu kufanya ovu ni sawa na kulifanya mwenyewe.Biashara ya unga sio mkuu,ina laana ile.Utapata pesa nyingi maisha ya kifahari lakini utaishi kama digidigi,hutakaa uwe na peace of mind,na kuacha ni ngumu mno.Bora hata uuze bangi lakini sio Unga.nmekaa around dealers since nko yanki,nshapewa offer kibao za kuuza na kusafirisha pamoja na kutakatisha proceeds bongo and abroad lakini nashukuru mungu kwa kunijaalia kutokuwa na tamaa.Kama ushawahi kuwa na ndugu ama rafiki alieathirika na dawa za kulevya utaelewa madhara yake.Kama ningepita njia hizo ningekuwa tajiri mkubwa sana sasaiv.lakini maisha ni mafupi na kifo na siku ya malipo kwa mungu ipo.
 
Unajielewa sana kaka...na unahit point kila unapotype...watu dizaini yako enzi yako enzi hizo ndio walifanya Jf ifahamike na kutikisa anga....ubarikiwe kwa kukeep button ya jf alive
 
Huyu jamaa ana maduka mengi ya nguo aka "doks" yanauza unga,zile nguo ni zuga tu,wawakamate na kuwahoji alafu wapimwe uone,namshauri Makonda mkuu wetu awakamate,hasa kinondoni Manyanya na sinza kijiweni
 
dah kweli asee.. nilkua natania tu siwez fanya uupuzi kama huo bora nife masikin kama ipo ipo tu sio lazma nitoke kwa njia ya drugs NEVER!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…