Makonda kamtaja Chid Mapenzi, huyu ni nani? Tupeni file!

Benny EM

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
489
500
Ukijaziajazia sana unaweza jikuta umesema yasiyotakiwa kusemwa hadharani au ukaji expose identity yako.
Tanzania tukitaka tuidihibiti biashara ya unga kuna vitu viwili vya kufanya.
1.kuongeza ulinzi kwenye mipaka yetu na njia zote zinazotumika kuingiza na kutoa hii midude kwenda nje.imagine dar es salaam pekee ina bandari bubu 50,border za Tanzania ziko loose kuliko viungo vya siri vya kahaba,achana na bandari bubu tunayo hadi mipaka bubu.Mashine za kukagulia mizigo nazo mbovu sasa unategemea utadhibitije hii biashara.ndani ya wiki hizi mbili ambazo makonda kaunguruma unajua zishaingizwa kilo ngapi za unga na punda wangapi wamepakia ndege ktk airport zetu?.customs nako kumejaa rushwa.unaweza pitisha hata fuvu la binaadamu ukiwa na hongo stahili.

2.Kudhibiti pesa ya unga.Hakuna jambo gumu kwa drug dealers wa nchi zilizoendelea kama kutakatisha pesa zao za faida ya unga na kuziingiza kwenye system.lakini kibongobongo ni rahisi mno.kwa makadirio yangu kila siku guanghzou pekee inatakatisha si chini ya dola 50,000-100,000 za unga na kuziingiza kwenye system ya pesa bongo kiurahisi kabisa.kwa wale wakazi wa diaspora kuna kitu kinaitwa remittance hudama kama inayotolewa na western union na moneygram.sasa huku kuna western union za kienyeji.GSM wanahusika kiasi kikubwa na hili tena walivyomaradhuli wanatuchaji sisi katika kutakatisha fedha zao.
Bongo ni kawaida ya mtu kuwa na pesa isiyo na maelezo yaani mtu anabiashara ya milioni kumi lakini ana mali za milioni 500.na hua hakuna maswali.kwa wenzetu mali zako zinatakiwa kuendana na kipato chako kinachotambuliwa na serikali.
Kwahyo cha msingi ni kudhibiti tu pesa ya unga isiwe inamove freely kama ilivyo hivi sasa.kwa mfano ni ngumu kwa drug dealer wa colombia kuhamisha dola laki moja ya unga kutoka marekani kurudi nchini kwake kuliko dealer wa tanzania kuhamisha faida yake ya dola milioni kutoka china kuja dar es salaam.Mkuu uko vizur San.. Unaeleza kiundani zaidi
 
Luvanga1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,013
2,000
Kwani unadhani nayoyazungumza ni mapya wanayafahamu vizuri tena wanajua zaidi ya nisiyoyajua mimi.kwamfano mimi Ayubu kiboko sikuwa nikifahamu kuwa ni major drug dealer,nlikuwa napishana naye tu mitaani,wengi naowajua nimewajua sababu tu ya harakati za maisha sio kwamba ni rafiki zangu au na mimi na deal na hizo mambo,nakumbuka mara ya kwanza kuuona unga nlikuwa form 1 jamaa alinionyesha kakifuko kadogo kanailoni akanambia unaona hii,hii nizaidi ya milioni mbili nkabaki kushangaa vipi ungaunga kiasi kidogo namna ile una bei kubwa namna ile.
Sio china tu brazil,iran,pakistani mpaka kolombia na peru kuna wabongo wanaliendeleza libeneke la unga.Mie mwenyewe hata nkitaka leo niingie naweza tena sio kwenye upunda,kwenye supply chain yenyewe na money laundering lakini bdo ninaimani na kimwogopa mnyaazmungu.
nipe connection nipge kazi hiyo maana nahisi kma ina mtonyoo mkubwa tu
 
titimunda

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
7,588
2,000
nipe connection nipge kazi hiyo maana nahisi kma ina mtonyoo mkubwa tu
Kwa imani ya dini yangu,kumsaidia mtu kufanya ovu ni sawa na kulifanya mwenyewe.Biashara ya unga sio mkuu,ina laana ile.Utapata pesa nyingi maisha ya kifahari lakini utaishi kama digidigi,hutakaa uwe na peace of mind,na kuacha ni ngumu mno.Bora hata uuze bangi lakini sio Unga.nmekaa around dealers since nko yanki,nshapewa offer kibao za kuuza na kusafirisha pamoja na kutakatisha proceeds bongo and abroad lakini nashukuru mungu kwa kunijaalia kutokuwa na tamaa.Kama ushawahi kuwa na ndugu ama rafiki alieathirika na dawa za kulevya utaelewa madhara yake.Kama ningepita njia hizo ningekuwa tajiri mkubwa sana sasaiv.lakini maisha ni mafupi na kifo na siku ya malipo kwa mungu ipo.
 
wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,945

Unajielewa sana kaka...na unahit point kila unapotype...watu dizaini yako enzi yako enzi hizo ndio walifanya Jf ifahamike na kutikisa anga....ubarikiwe kwa kukeep button ya jf alive
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,839
2,000
Huyu jamaa ana maduka mengi ya nguo aka "doks" yanauza unga,zile nguo ni zuga tu,wawakamate na kuwahoji alafu wapimwe uone,namshauri Makonda mkuu wetu awakamate,hasa kinondoni Manyanya na sinza kijiweni
 
Luvanga1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,013
2,000
Kwa imani ya dini yangu,kumsaidia mtu kufanya ovu ni sawa na kulifanya mwenyewe.Biashara ya unga sio mkuu,ina laana ile.Utapata pesa nyingi maisha ya kifahari lakini utaishi kama digidigi,hutakaa uwe na peace of mind,na kuacha ni ngumu mno.Bora hata uuze bangi lakini sio Unga.nmekaa around dealers since nko yanki,nshapewa offer kibao za kuuza na kusafirisha pamoja na kutakatisha proceeds bongo and abroad lakini nashukuru mungu kwa kunijaalia kutokuwa na tamaa.Kama ushawahi kuwa na ndugu ama rafiki alieathirika na dawa za kulevya utaelewa madhara yake.Kama ningepita njia hizo ningekuwa tajiri mkubwa sana sasaiv.lakini maisha ni mafupi na kifo na siku ya malipo kwa mungu ipo.
dah kweli asee.. nilkua natania tu siwez fanya uupuzi kama huo bora nife masikin kama ipo ipo tu sio lazma nitoke kwa njia ya drugs NEVER!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom