Makonda: JPM kama Unasikia SSH amenipa Nafasi

Makonda: JPM kama Unasikia SSH amenipa Nafasi

Mbele ya kaburi la Shujaa Magufuli Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Makonda amesema " Magufuli kama unanisikia Rais Samia amenipa Nafasi"

Watu Wote waliokuwepo pale kaburini walilengwalengwa na machozi

Source: Ayo TV
Yote huo ni mchezo wa CCM, na makonda anajua kuucheza vizuri. Tunahitaji kura za kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom