Mimi ni mchagga ile kauli nilichukulia ni utani ila alikosea pale sio sehemu ya kuleta utani.Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchi kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Acha uongo taasisi gani imeanzishwa na mchaga halafu iwe ya ummaAisee bhangi ya wapi unavuta wewe nenda kijijini kwenu utakuta wachaga wanavyo jenga shule na makanisa wamefungua maduko uko jambo ambalo lilikua ndoto kwenu.Nikuambie NGOs nying zinazo saidia wahitaji zimeanzishwa na wachaga.Kuhusu ukaskizini watu wa northern zone wanaumoja kwa ujumla wanapapenda kwao kwanza.
HongeraMimi ni mchagga ile kauli nilichukulia ni utani ila alikosea pale sio sehemu ya kuleta utani.
Nimekuwa nikiona wazazi wangu wakisaidia watu duni miaka kwa miaka. Mimi maskini wa barabarani mara kwa mara nawapa chochote nikiwapita roho inanihoji. Wachaga wanatoa sana misaada hata kwa walemavu sema inakuwa kimya kimya
Wachaga ni mojawapo ya maeneo ya kwanza kabisa Tanzania wamishionari walipokelewa kwa mikono miwili na hii ilileta baraka . Mchaga yoyote anajua kutoa na kutoa kwake kwanza Sadaka kwa Mungu halafu msaada kwa maskini wasio nacho. Na ukiwa mtoaji unaongezewaHongera
Ila pengine mmestaaribishwa na watu nje ya uchaga au neni la Mungu limewaingia
Tena labda wewe bado ni mchawi hata ulikotokea, unamkaribisha nani? Stupid kabisa.Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Hahaha "mchaga yeyote"Wachaga ni mojawapo ya maeneo ya kwanza kabisa Tanzania wamishionari walipokelewa kwa mikono miwili na hii ilileta baraka . Mchaga yoyote anajua kutoa na kutoa kwake kwanza Sadaka kwa Mungu halafu msaada kwa maskini wasio nacho. Na ukiwa mtoaji unaongezewa
Wacha kuongea vitu general, jiongelee wewe, eti " mchaga yoyote.anajua kutoa" huhWachaga ni mojawapo ya maeneo ya kwanza kabisa Tanzania wamishionari walipokelewa kwa mikono miwili na hii ilileta baraka . Mchaga yoyote anajua kutoa na kutoa kwake kwanza Sadaka kwa Mungu halafu msaada kwa maskini wasio nacho. Na ukiwa mtoaji unaongezewa
Nyie ndiyo mjirekebishe! Kazi kutafuta wachawi na wakati mchawi ni ubongo wako mwenyewe. We endelea na ukabila. Na pengine hapo ulipo una kiungo cha albino mfukoni ili utajirikeAaah Mushi acha jazba bwana cha msingi mjirekebishe tu matusi yako hayabadilishi ukweli
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Mchagga mwingine huyu naye anamkoromea Bashite mfoji vyeti.