Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,895
Vipi wale wasioamini uwepo wa Mungu?Huyu bwana mdogo ameenda mbali kwa kusema hii dunia sio ya mwenyezi Mungu. Je nani muumba wa dunia hii na viumbe vilivyomo. Ni kosa kutafuta kiki za kisiasa kwa kumhusisha Mwenyezi Mungu.
Unajiumiza mwenyewe tu roho yako bila sababu yoyote
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-
1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.
2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)
3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.
4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......
5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,
7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!
Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe
(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.
MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.
Wazee hawana masihara!Nyie wazee mliosoma albadiri mungu anawaona. Legezeni kidogo
Rejea kutoka katika kitabu cha Kuli! Japo mwisho haukuwa mzuri sana.!
!
Yana mwisho.
Daah, naona dereva na makondakta wake wameizidiwa na utamu wa muwa hadi lori limeacha barabaraWazee hawana masihara!
Hivi hata ndugu zako wameshindwa kukusaidia ili uondokane na huu uchizi wa kujitakia? Au nao wanaambulia makombo unayopewa na Bashite?Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..
Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh
Acha wivu
Kusema kuwa dunia hii si mali ya Mungu ndio kazi aliyotumwa kuifanya? Nyakati nyingine jifunzeni kuutenga uadui na urafiki kama vile mtengavyo mchele na chuya!Mnahangaika bure na makonda, yeye anachapa kazi aliyotumwa nanyi fanya za kwenu
Utakuwa na matatizo kichwani? Umeona kuna mtu amehangaika na huyo Makonda wako, au watu wanahangaika na hoja zake? Hivi kwanini JF inaruhusu mpaka wajinga wajinga wanajisajili hapa? Hapo hata ukiulizwa utaje mambo mawili tu ambayo huyo Makonda wako ameyafanikisha kwa ufanisi utabaki kujiumauma na blah bla kibao!Mnahangaika bure na makonda, yeye anachapa kazi aliyotumwa nanyi fanya za kwenu