Mkuu kichwa cha habari umekiandika kinaa sana, Makonda kwenye hili yupo sahihi kabisaWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda katika kuhamasisha utengenezaji wa filamu zinazoitangaza Tanzania.
Holiday sengee ni nani? Who are you?Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda katika kuhamasisha utengenezaji wa filamu zinazoitangaza Tanzania.
Hata mimi nimesikiliza alicho kiongea makonda pamoja na kwamba huwa simkubali huyu bwana mdogo lakini kasema sahihi kabisa mtoa post ni waandishi wa vichochoroniMkuu kichwa cha habari umekiandika kinaa sana, Makonda kwenye hili yupo sahihi kabisa
yawezekana wadau hawajasikiliza clip,Mkuu kichwa cha habari umekiandika kinaa sana, Makonda kwenye hili yupo sahihi kabisa