ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,115 Mar 15, 2016 #21 Katavi said: Hao wengine wapo wapi siku hizi?? Click to expand... Ni walimu wilaya ya kinondoni, wanapanda daladala bure
Katavi said: Hao wengine wapo wapi siku hizi?? Click to expand... Ni walimu wilaya ya kinondoni, wanapanda daladala bure
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Mar 15, 2016 #22 youngblood said: Ni walimu wilaya ya kinondoni, wanapanda daladala bure Click to expand... Hahahaah ndio kawakumbuka hivyo.....!!!
youngblood said: Ni walimu wilaya ya kinondoni, wanapanda daladala bure Click to expand... Hahahaah ndio kawakumbuka hivyo.....!!!
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,849 Mar 15, 2016 #23 ...mleta picha kaonesha tu Makonda alipotokea,nashanga watu mnakuja kwa spidi mapovu kibao,hajawaambia kama ana msanifu Makonda,bali kawaonesha enzi zake za shule,simple.!!
...mleta picha kaonesha tu Makonda alipotokea,nashanga watu mnakuja kwa spidi mapovu kibao,hajawaambia kama ana msanifu Makonda,bali kawaonesha enzi zake za shule,simple.!!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Mar 15, 2016 #24 Maisha ndivyo yalivyo jamaa yangu, ukute hao wengine ni wapiga debe na wala unga tu thatha.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,322 Reaction score 103,593 Mar 15, 2016 #25 Mkeshaji siku zote ni kilaza haelewi mapema kile anachofundisgwa