Makonda enzi hizo

Msulunje

Member
Oct 6, 2015
67
35
12512355_205636463134888_8500179962658705107_n.jpg
 
majungu. hao ambao wanasoma ni wakuu wa nini leo.

leadership has nothing to do with A grades.

poteza muda mwingi kwenye vipaji vyako itakusaidia.
 
Mkuu kwa hili umezingua...umetoa hii mada kishari..mtoa mada acha wivu wa ajabu bhana...hyo picha ni zaid ya miaka 3 unaleta hapa inamaana wewe hujaacha tabia yako ya kuingia na vibuti??....si vzuri muache jamaa afanye kazi tutamjudge kwa kazi aliyopewa!..kuwa kiakili basi na hyo degree yako moja ya Maendeleo ya jamii!....SIVIZURI
 
Uzi umeandikwa hivi "Makonda enzi hizo" na picha haina maelezo yoyote

Kwanini mnatoa povu?
 
Ukifeli shule au Maisha kimbilia siasa na pia jitahidi sana kujipendekeza kwa wenye vyeo vyao nauhakika utatoka hasa ukiwa hauna hela za kuhonga. Nakumbuka once said ukiwa mtoto wa masikini huwezi kuwa kiongozi ndani ya CCM. Hongera sana Makonda kwa jitihada..
 
na hamna hata anayemsumbua maana kiongozi tayari alikua ashawaambia vijana wake kaeni msome...mkimaliza mniamshe niwaulize maswali nione kama mmelelewa
 
Watu wanatakiwa kuichukulia hii picha katika kujifunza kwamba he was just like most of us, hatoki kwenye familia za kifalme, ni jitihada ndo zimemfikisha hapo + fitna za kujua wakubwa wanataka nini na unafanya bila kujali tafsiri.

End justify means!
 
Mkuu kwa hili umezingua...umetoa hii mada kishari..mtoa mada acha wivu wa ajabu bhana...hyo picha ni zaid ya miaka 3 unaleta hapa inamaana wewe hujaacha tabia yako ya kuingia na vibuti??....si vzuri muache jamaa afanye kazi tutamjudge kwa kazi aliyopewa!..kuwa kiakili basi na hyo degree yako moja ya Maendeleo ya jamii!....SIVIZURI
Mbona unatoa maelezo meengi wakati, mtoa mada amesema Makonda enzi hizo! Tatizo liko wapi? Mbona unajishuku?
 
Back
Top Bottom