simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,218
Habari ndugu wapendwa was jf?!.
Nmesikitishwa sana na watu kuwabeza wanaume wa Dar au Kudaresalaam. Wengi wao wa mikoani ndo wameshikia bango LA kutubeza.
Sasa basi kutokana na hali hiyo nikiwa kama mtunza taarifa(data entrant) wa chama kitakachoanzishwa punde cha Wanaume Wa Dar es Salaam (WAWADAR) Natoa pongezi za dhati kwa mkuu wa mkoa wetu.
Mh Paul Makonda alishindwa kuvumilia na kupaza sauti nzito yenye mashiko akisema "Wanaume wa Dar tunajal mda, hatuwezi kupika wakati kuna take away chips, why tuangaike kufua wakati kuna dry cleaner? Muda ni Mali zaidi mfikiriavyo.
Pia akaenda mbali zaidi akisema " wanaume wa Dar tunaongoza kwa kutoa ajira. Kwa nn tulime mahindi wakati ya kuchoma yapo? Kwa nini tuangaike kukoleza moto kukaanga mihogo wakat ya kukaanga IPO? Kama tukfanya hayo yote je wa mikoani watamuuzia nani?
Mlezi wetu wa WAWADAR Mh Makonda naomba tusaidie kupata usajili haraka iwezavyo wa chama chetu WAWADAR ili tuwe na sauti moja ya kusemea
Nawasilisha kwako mlezi wetu wa WAWADAR Mh Paul Makonda.