Makonda atoa msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi milioni 476 kwaajili ya kuezeka nyumba 1,000 za wajane waliokumbwa na mafuriko Dar

Thursday, April 30, 2020

Makonda Atoa Msaada Wa Mabati Yenye Thamani Ya Shilingi Milioni 476 Kwaajili Ya Kuezeka Nyumba 1,000 Za Wajane Waliokumbwa Na Mafuriko

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo April 30, 2020 ametoa msaada wa mabati yenye thamani ya Tsh. 476m kwa ajili ya Kuezeka nyumba 1,000 za Wajane wa mkoa huo ambazo zimeathiriwa na mafuriko. RC Makonda amewataka pia wananchi waliojenga mabondeni kuhama.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya kuhifadhiwa kwa majirani baada ya kukosa makazi ya kuishi hivyo ameona ni busara kutoa msaada huo kama sehemu ya pole kwa adha waliyoipata.

Aidha RC Makonda amewapa siku 10 Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanapitia maeneo ya Mito na Mabonde kukagua athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwashirikisha viongozi wa mitaa ili kwa pamoja watoe mapendekezo ya nini kifanyike kisha wampatie ripoti ya kuonyesha hatua za kukabiliana na Mafuriko ya Mara kwa Mara.

Aidha RC Makonda amesema athari zinazoonekana kwa sasa ni matokeo ya Jamii kuwafumbia macho watu wanovunja sheria kwa kujenga mabondeni, kuchimba mchanga na kuziba mikondo ya maji jambo linalopelekea Mafuriko hivyo ametaka kila mwananchi kuwa mlinzi wa mwenzake.

Pamoja na hayo RC Makonda amesema kwa sasa serikali inaendelea kurejesha miundombinu na madaraja yaliyochukuliwa na Mafuriko ikiwemo ujenzi wa madaraja ya muda mfupi ili kuwezesha shughuli za kijamii kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio yeye ni wauza unga wenzake
 
ila nilicho notic2e jamaa anamfatilia sana kigogo.

jana kigogo ali-tweet kwamba makonda kaamua kujiweka carantini baada ya kuhisi kaambukizwa corona.

leo kajitokeza huku kavaa barakoa na sio kawaida yake. hii ni sawa na kusema ameamua kukatisha kukakaa carantini ili ajitokeze ku-counter alichosema kigogo.
Kwanini wanaokufa Bashite hayumo?
Natamani afe mapema ili Lisu asipate kitisho wakati anatua JNIA
 
Thursday, April 30, 2020

Makonda Atoa Msaada Wa Mabati Yenye Thamani Ya Shilingi Milioni 476 Kwaajili Ya Kuezeka Nyumba 1,000 Za Wajane Waliokumbwa Na Mafuriko

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo April 30, 2020 ametoa msaada wa mabati yenye thamani ya Tsh. 476m kwa ajili ya Kuezeka nyumba 1,000 za Wajane wa mkoa huo ambazo zimeathiriwa na mafuriko. RC Makonda amewataka pia wananchi waliojenga mabondeni kuhama.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya kuhifadhiwa kwa majirani baada ya kukosa makazi ya kuishi hivyo ameona ni busara kutoa msaada huo kama sehemu ya pole kwa adha waliyoipata.

Aidha RC Makonda amewapa siku 10 Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanapitia maeneo ya Mito na Mabonde kukagua athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwashirikisha viongozi wa mitaa ili kwa pamoja watoe mapendekezo ya nini kifanyike kisha wampatie ripoti ya kuonyesha hatua za kukabiliana na Mafuriko ya Mara kwa Mara.

Aidha RC Makonda amesema athari zinazoonekana kwa sasa ni matokeo ya Jamii kuwafumbia macho watu wanovunja sheria kwa kujenga mabondeni, kuchimba mchanga na kuziba mikondo ya maji jambo linalopelekea Mafuriko hivyo ametaka kila mwananchi kuwa mlinzi wa mwenzake.

Pamoja na hayo RC Makonda amesema kwa sasa serikali inaendelea kurejesha miundombinu na madaraja yaliyochukuliwa na Mafuriko ikiwemo ujenzi wa madaraja ya muda mfupi ili kuwezesha shughuli za kijamii kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana corona sema haijampiga sawa sawa .
 
Usiwe mjinga, Bashite ni lopolopo tu na usitegemee lolote hapo... jipambanie na familia yako acha kupiga vigelegele tu.
Wewe ndio mjinga na mpumbavu ndio maana nilikuambia ujinyonge raia wamepewa mabati wewe unaumia kweli misukule ni noma
 
Misukule ni wewe na wenzako, ni wa kuonewa huruma tu.... aliyekwapua akili zenu [kama mlikuwa nazo] basi aliwafanya vibaya sana.
 
Kwasasa Kigogo na Nyumbu wengine wapo kwenye furaha kuu kwa jinsi hali ya Corona ilivyo, wanafurahi kwa kila kifo na kila tukio baya linalo ipata Tanzania yetu.

Baada ya muda Corona itaondoka, Mungu aki tu jaaalia uhai tutakutana nao kwenye sanduku la kura. Naamini apo ndipo Nyumbu watakapo jua wa Tanzania hawapendi kebehi na Dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu suala la corona halina chama wala halichagui watu wa upande fulani. Kesho miathirika anaweza kuwa wewe au mimi au ndugu zetu wa karibu au jamaa zetu. Corona siyo suala la kibezana ni vita na sote tuko kwenye vita hiyo. Bila wewe au mimi hatutashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thursday, April 30, 2020

Makonda Atoa Msaada Wa Mabati Yenye Thamani Ya Shilingi Milioni 476 Kwaajili Ya Kuezeka Nyumba 1,000 Za Wajane Waliokumbwa Na Mafuriko

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo April 30, 2020 ametoa msaada wa mabati yenye thamani ya Tsh. 476m kwa ajili ya Kuezeka nyumba 1,000 za Wajane wa mkoa huo ambazo zimeathiriwa na mafuriko. RC Makonda amewataka pia wananchi waliojenga mabondeni kuhama.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya kuhifadhiwa kwa majirani baada ya kukosa makazi ya kuishi hivyo ameona ni busara kutoa msaada huo kama sehemu ya pole kwa adha waliyoipata.

Aidha RC Makonda amewapa siku 10 Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanapitia maeneo ya Mito na Mabonde kukagua athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwashirikisha viongozi wa mitaa ili kwa pamoja watoe mapendekezo ya nini kifanyike kisha wampatie ripoti ya kuonyesha hatua za kukabiliana na Mafuriko ya Mara kwa Mara.

Aidha RC Makonda amesema athari zinazoonekana kwa sasa ni matokeo ya Jamii kuwafumbia macho watu wanovunja sheria kwa kujenga mabondeni, kuchimba mchanga na kuziba mikondo ya maji jambo linalopelekea Mafuriko hivyo ametaka kila mwananchi kuwa mlinzi wa mwenzake.

Pamoja na hayo RC Makonda amesema kwa sasa serikali inaendelea kurejesha miundombinu na madaraja yaliyochukuliwa na Mafuriko ikiwemo ujenzi wa madaraja ya muda mfupi ili kuwezesha shughuli za kijamii kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni habari njema sana. Hongera kwa mh. Makonda.

Naomba kujua,
1. Hizo nyumba 1000 za wajane zimepatikana leo wakati wa ziara au ziahakuwa identified before?

2. Jumla ya nyumba zilzoathirika ni ngapi?

3. Hakuna wajane wenye uwezo mzuri kiuchumi kuliko familia zingine zisizo za wajane?

4. Ni kwa nini idadi ya nyumba za wajane inaonekana kuwa kubwa sana?

Hongera mkuu wa mkoa kwa kuwa na moyo wa kutoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom