Na huku hali ndo hiyo, leo mkuu wa mkoa hapa simiyu amepita asubuhi na msafara wa ving'oraJamani huu upendeleo wa mkuu wa mkoa kutembea na msafara ni kwa Paul Makonda pekee?
Mbona mikoani wakuu wa mikoa hawana misafara wala ving'ora?
ni WIVU TUJamani huu upendeleo wa mkuu wa mkoa kutembea na msafara ni kwa Paul Makonda pekee?
Mbona mikoani wakuu wa mikoa hawana misafara wala ving'ora?
Sio wivu, tamaa.... Mungu FUNDI wallahni WIVU TU
maana yako inawezekana ikawa kubwa zaidi? tafadhal umemaanisha nnSio wivu, tamaa.... Mungu FUNDI wallah
Ni kweli makamu wa rais wa TFF hana msafara!Makonda anamzidi mpaka makamu wa Rais
Tena wa kike hatari sana kwa afya ya mwanume tena rijalini WIVU TU
Kikatiba Makanda ana kipande cha nchi (Dar es Salaam), Makamu wa Rais - Hola. Makanda ana bunduki 7 zinazomlinda, Makamu wa Rais Hola. Kikatiba Makonda ana mpambe nyuma yake ambaye ni Polisi, Makamu wa Rais Hola. Hivyo usimlinganishe mkuu wa mkoa na MK aw Waziri Mkuu kuhusu kulindwa kikatiba. Mwenyekiti wa Kijiji kikatiba naye ana mgambo anayetakiwa kukaa nyuma na Bunduki mojaMakonda anamzidi mpaka makamu wa Rais