Mbona hajakumbuka kutoa pia elimu ya Haki?Wakuu,
Sasa wameona iwe ni mwendo wa kuzunguka kwenye Vijiwe kutoa elimu ya umuhimu wa kulinda amani ya nchi,, kumbe inawaumiza kichwa tuendelee kukaza waku hadi kieleweke wamezoea sana hawa CCM
Tusirudi nyuma mpaka haki ipatikane kwenye nchi hii