Makonda anapaswa kuomba radhi

Makonda anapaswa kuomba radhi

Hapo Yesu ameingiaje wkt yeye mwenyewe ni mungu wa Darisalama?
 
Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.
mkuu, kanuni za Mungu ziko wazi. Mungu halindi watu wenye hila...labda huyo unayemtaja hapa ni "mungu".

ndiyo maana jambazi anayevunja benki na kupora hawezi kubarikiwa na Mungu hata akiwapelekea yatima zile pesa zote alizokwapua!
 
Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.
Kwani anashughulika na vita gani? ni(tu)nachojua kama ni vita ya madawa ya kulevya PM ndiye mwenyekiti na Sianga ndiye kamishna au kuna vita nyingine tusiyoijua?
 
Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.
Haya maneno ungemwambia Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga.

Daud ni Kamishna wa mkoa wa Dar. Mambo ya madawa ya kulevya alijichomeka tu.
 
Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.

Simple tu, aoneshe vyeti.
 
Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.
Mithali 2:21-22
21 Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake.
22 Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa.
 
Kwani makonda katishwa na nani? Nani kamwambia asifanye kazi yake?.......kinacho takiwa adhibitishe au akanushe tuhuma zake...mbona kazi rahisi tu......watu wanataka kudhibitisha aina ya mtu anae waongoza.
 
Ujasiri wa kununua vyeti vya kidato cha nne au kuna ujasiri mwingine mnaouzungumzia?

Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.
 
Siasa na Dini ni vitu viwili tofauti mno na hata ukijaribu kuvichanganya havichanganyikani kabisa ni kama mafuta na maji...So alienza Kisiasa na aimalize kisiasa tu...
 
Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.
Ni sawa apigane lakini:
1. Aache visasi
2. Aache udhalilishaji
3. Asijione ni Mungu ataharibiwa
4. Afuate sheria
5. Aache utoto
 
wengine wanamuita mungu wa dasalama. amevimba kichwa utafikiri hajatoka porini. ndio ushamba wa kuja mjini juzi huo.
 
Nami nakutia moyo USIOGOPE na tena USITISHWE na chochote kwani njia za Mungu siyo za kibinadamu!Pigana vita hivi maana vijana wetu wanaangamia na waliokutangulia Mungu hakuwapa huo ujasiri bali wewe umepewa, ubarikiwe sana.

Kama vita anaipigana kwa Moyo mweupe atafanikiwa lakini kama anapigana kwa hila na kutafuta Sifa binafsi lazima Mungu amuaibishe.
 
m
Kama vita anaipigana kwa Moyo mweupe atafanikiwa lakini kama anapigana kwa hila na kutafuta Sifa binafsi lazima Mungu amuaibishe.
mi sikujua, kumbe ilikuwa vita ya jimbo? alijua Gwajima angeacha kanisa akagombee ubunge awe mbunge kama rwakatale...hahahahaha
 
Kujishusha na KUOMBA RADHI ktk pahali ulipokosea ni jambo la kiungwana sana.Hayupo mwanadamu aliye mkamilifu ktk yote.Ndiyo maana hata vitabu vya dini vinatukumbusha kuwa wepesi wa KUOMBA ama msamaha au kusamehe ktk yote.

Ndiyo maana nakushauli ndg MAKONDA km papo pahali na nafsi yako inakusuta kwamba ulikosea,omba MSAMAHA ili uwe na AMANI ndg yangu.

Ukiwa na AMANI hata wakichukua u a-Rc wao daima hutakuwa mtu wa kuumizwa kwalo.

Fanya hivyo poti wangu.SIASA ina gharama zake.Lazima hulipiwa tu!
 
Mimi ninapingana sana na wewe mtoa mada.
Mbinu aliyotumia Makonda ni mbinu aliyoibuni yeye na kuiona kuwa ingemsaidia kufanikisha mapambano. Hakuna kiongozi yeyote katika mihimili yote ya serikali aliyethubutu angalao kujaribu kwa mbinu yoyote ile kuianzisha vita hii kwa miaka yote tangu itangazwe.
Hao polisi unaodai walipewa orodha na Kikwete ili wafuatilie, ndiyo hao mojawapo uliosikia wameswendemwa ndani. Kupewa majina hayo kwao ilikuwa ni kugawiwa utajiri.
Nikuulize ni miaka mingapi kwa jambo moja kushindwa kutolewa maamuzi ya kuanzishwa?
Hao wahusika ambao majina yao yalikabidhiwa polisi, taja ni nani mojawapo aliyefuatiliwa akabainika na kutangazwa kama ni adui wa taifa katika biashara hiyo haramu?
Hivi wote waliotajwa, hakuna hata mmoja aliyebainika kujihusisha na biashara hiyo, kwamba walibambikiwa kama unavyotaka kutuaminisha?
Vyovyote iwevyo, tafsiri ya Makonda kutaja majina hakudhamiria hao mateja wafungwe, ila alitaka wawataje wahusika wakuu ambao serikali ina uchu wa kuanza nao. Hakuhitaji kithibiti, ndiyo maana aliwaita kwa kusema anawaita akutane nao ili wamueleze kwa nini wanatajwa katika sakata hilo. Mbinu aliyoitumia ni njema kabisa na imesaidia sana kuweza kupata mnyororo wa wafanya biashara hiyo. Hao vidagaa alielewa kuwa si wahusika wakuu ndiyonaana hakuhitaji kuwashitukiza na kuwapekua, ingawa uwezo wa kufanya hivyo ulikuwepo.
Wewe umetoa mchango wako kwa uelewa wako, lakini yaweza kuwa mawazo hayo umepachikiwa kutokana na kampeni zinazopigwa sasahivi za kudhoofisha vita hii. Ninasema hayo kutokana na ujazo wa vina vya thread yako.
Kila kitu hapa duniani huwa kina faida na hasara, wewe umetaja hasara tupu za matokeo ya uanzishwaji wa vita hiyo, haukutaja faida ya mbinu hizo alizotumia.
Kaa ukijua nchi hii watu wameelimika kuweza kuchuja jambo jema, la ukweli na figisu za ghiriba pia wanazijua.
Fanyeni muwezavyo kutetea ili kudhoofisha vita hii, lakini raia wema wanamuunga mkono sana mheshimiwa Makonda na rais wake Magufuli, kwa kuwa wanayotenda ni kwa manufaa yetu sote na si kwa manufaa yao binafsi.
Mbona majambazi hsyajaitwa wala kutajwa?
 
Back
Top Bottom