Kuna shida gani katika nchi hii?
Yaani Makonda pamoja na kughushi vyeti bado anaweza kweli kuwa na ndoto ya kugombea urais katika nchi hii.!!??
Makonda ana ban ya kutoruhusiwa kwenda Marekani kwa sababu ya kutuhumiwa na nchi hiyo kuwa kinara wa kundi la wasiojulikana sasa atakuwa raisi wa aina gani ambaye hawezi kwenda kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa.
Makonda inatakiwa afikishwe mahakamani kujibu mashitaka ya kujaribu kumuua Tundu Lissu na kwa kifupi hana sifa ya kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ile.