Sheria Step
Member
- Apr 22, 2025
- 9
- 4
The government is on Autopilot ??
Yani Mkuu wa mkoa kutoka chama cha Mapinduzi CCM Mbele ya Naibu Waziri Mkuu anamdhalilisha Mbunge wa Chama cha Mapinduzi CCM Mbele ya wananchi huku Vyombo vya habari vikiwa Live 🧎🏽‍♂️hii ni mara ya pili .
1.Je Makonda ni nani??
2. Makonda anamamlaka gani Juu ya Mbunge ?
3. Unawezaje kuwatofautisha kwa Tabia za kikatili wote wawili wakiwa wakuu wa Mikoa Makonda Dar es Salaam na Mrisho Gambo akiwa Arusha ?? Hawa wote walifanya uonezi wa kutisha ilifika Kipindi Mpaka Marekani iliingilia kati kwa kumwekea vikwazo Paul Makonda.
4. Watoto na Vijana wenye ndoto za kuwa wakuu wa Mikoa na Wabunge wanajifunza nini??
Kwanini serikali haiwachukulii hatua kwa impunity hii inayoonyeshwa Mbele ya umma ??