FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,823
- 46,943
Pengine anamaanisha cheti kilimponyoka kama huyo paka alivyoponyoka hahahaahah (jus kidn')
Lissu, Mnyika, Mbowe, Lowassa, Lema, Wema, Marando, Baregu, Saanane, Mdee, just to mension a few.Kwani kuna mwenye cheti huko chaggadema ?
HABARI ZENU HUMU NDANI
Leo nimeamua kupitipitia instagram page ya RC wa Dsm.post yake ya mwisho ni video fupi ikimwonyesha dogo anataka kumtupa paka kwa bwawa la kuogelea lkn paka anachoropoka na dogo ndo anadumbukia....kwa wataalam wa kwenda beyond the reality nna uhakika kuna ujumbe anatufikishia sisi wakazi na watanzania kuhusu suala lake nyeti.
Hebu nnasidien na nyinyi mnaelewa vipi hapo
Wenye akili timamu hatuna muda wa kujadili upumbavu.
Ukiona mtu kama ww anapuuzia hili jambo, jua na yy hana chet au amefanya magumashi kama ya Bashite...Wenye akili timamu hatuna muda wa kujadili upumbavu.
HABARI ZENU HUMU NDANI
Leo nimeamua kupitipitia instagram page ya RC wa Dsm.post yake ya mwisho ni video fupi ikimwonyesha dogo anataka kumtupa paka kwa bwawa la kuogelea lkn paka anachoropoka na dogo ndo anadumbukia....kwa wataalam wa kwenda beyond the reality nna uhakika kuna ujumbe anatufikishia sisi wakazi na watanzania kuhusu suala lake nyeti.
Hebu nnasidien na nyinyi mnaelewa vipi hapo
HABARI ZENU HUMU NDANI
Leo nimeamua kupitipitia instagram page ya RC wa Dsm.post yake ya mwisho ni video fupi ikimwonyesha dogo anataka kumtupa paka kwa bwawa la kuogelea lkn paka anachoropoka na dogo ndo anadumbukia....kwa wataalam wa kwenda beyond the reality nna uhakika kuna ujumbe anatufikishia sisi wakazi na watanzania kuhusu suala lake nyeti.
Hebu nnasidien na nyinyi mnaelewa vipi hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu cheki zaidi labda katupia cheti huko